๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ (@kingpablotz) 's Twitter Profile
๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ

@kingpablotz

Content Creator | Social Media Influencer | Business & Service Promotions | DM for Collabs | Email: [email protected]

ID: 1575765815420669952

linkhttps://whatsapp.com/channel/0029VbAIm5117En3lCvRMW3h calendar_today30-09-2022 08:33:58

92,92K Tweet

48,48K Followers

3,3K Following

Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

๐†๐ฅ๐จ๐›๐š๐ฅ ๐ˆ๐ฆ๐ฉ๐š๐œ๐ญ ๐“๐ซ๐š๐ง๐ฌ๐Ÿ๐จ๐ซ๐ฆ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐ข๐ง๐ฏ๐ข๐ญ๐ž๐ฌ ๐ฒ๐จ๐ฎ! Join us for the ๐‰๐ข๐š๐ง๐๐š๐ž ๐๐š ๐Š๐ข๐ญ๐š๐š ๐…๐ข๐ง๐š๐ฅ ๐’๐ž๐ฌ๐ฌ๐ข๐จ๐ง under the Afya Yangu, Ndoto Yangu project happening this Saturday, 28th June 2025 at the University of Dar es Salaam (UDSM)

๐†๐ฅ๐จ๐›๐š๐ฅ ๐ˆ๐ฆ๐ฉ๐š๐œ๐ญ ๐“๐ซ๐š๐ง๐ฌ๐Ÿ๐จ๐ซ๐ฆ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐ข๐ง๐ฏ๐ข๐ญ๐ž๐ฌ ๐ฒ๐จ๐ฎ!

Join us for the ๐‰๐ข๐š๐ง๐๐š๐ž ๐๐š ๐Š๐ข๐ญ๐š๐š ๐…๐ข๐ง๐š๐ฅ ๐’๐ž๐ฌ๐ฌ๐ข๐จ๐ง under the Afya Yangu, Ndoto Yangu project happening this Saturday, 28th June 2025 at the University of Dar es Salaam (UDSM)
SAMKICHEKO (@samuelmway) 's Twitter Profile Photo

Wanangu wa kubeti jana Mchawi mmoja kazingua dakika za mwisho kabisa ila wajanja wali CASH OUT leo sasa hela ipo tuache tamaaa tu

Wanangu wa kubeti jana Mchawi mmoja kazingua dakika za mwisho kabisa ila wajanja wali CASH OUT leo sasa hela ipo tuache tamaaa tu
John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Mtu aliyependeza kupita wote kwenye Silver outfit alibeba kibunda cha MILIONI 2 bila longolongo Swagga + class + confidence = zawadi nono kabisa Heineken Silver ilithibitisha kuwa kupendeza kuna faida zake #SuprisinglySmooth #SmoothExperience

Mtu aliyependeza kupita wote kwenye Silver outfit alibeba kibunda cha MILIONI 2 bila longolongo
Swagga + class + confidence = zawadi nono kabisa
Heineken Silver ilithibitisha kuwa kupendeza kuna faida  zake 

#SuprisinglySmooth #SmoothExperience
๐— ๐—ฟ ๐˜€๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ผ (@mrsiyengo) 's Twitter Profile Photo

37275-054, Hiyo ilikuwa ni namba ya Mfungwa Mmoja Ambaye historia yake iliishangaza Dunia Hii ni Baada ya kutangazwa kwamba Ametoroka kutoka gereza la USP Florence ADX โ€” linalojulikana kama gereza gumu zaidi duniani na Maarufu kama โ€œAlcatraz ya Milima ya Rockiesโ€ โ€” THREAD

37275-054, Hiyo ilikuwa ni namba ya Mfungwa Mmoja Ambaye historia yake iliishangaza Dunia

Hii ni Baada ya kutangazwa kwamba Ametoroka kutoka gereza la USP Florence ADX โ€” linalojulikana kama gereza gumu zaidi duniani na Maarufu kama โ€œAlcatraz ya Milima ya Rockiesโ€  

โ€” THREAD
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

๐™†๐™ž๐™ก๐™ž๐™ข๐™ค ๐™Ž๐™ž๐™ค ๐™…๐™š๐™ข๐™—๐™š ๐™๐™ช ๐™‰๐™ž ๐™๐™š๐™ ๐™ฃ๐™ค๐™ก๐™ค๐™Ÿ๐™ž๐™–, ๐˜ฝ๐™ž๐™–๐™จ๐™๐™–๐™ง๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™๐™๐™ช๐™ง๐™ช Vijana na wasomi, wakati wa kufikiria kilimo kama ajira ya kawaida umepita Sasa kilimo ni cha kisasa, kinachotumia data, teknolojia na soko la uhakika kupitia CropSupply.com

๐™†๐™ž๐™ก๐™ž๐™ข๐™ค ๐™Ž๐™ž๐™ค ๐™…๐™š๐™ข๐™—๐™š ๐™๐™ช ๐™‰๐™ž ๐™๐™š๐™ ๐™ฃ๐™ค๐™ก๐™ค๐™Ÿ๐™ž๐™–, ๐˜ฝ๐™ž๐™–๐™จ๐™๐™–๐™ง๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™๐™๐™ช๐™ง๐™ช

Vijana na wasomi, wakati wa kufikiria kilimo kama ajira ya kawaida umepita
Sasa kilimo ni cha kisasa, kinachotumia data, teknolojia na soko la uhakika kupitia CropSupply.com
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kumaliza chuo alikosa kazi. Alikataa kujiunga na Jeshi hata baada ya nafasi kutoka, licha ya ugumu wa maisha alio kuwa nao. Alio bora aendelea kuwa dereva Tax na kufanya usafi gym ilikutimiza ndoto zake Huyu anaitwa John Felix Antony Cena au John Cena. Ugumu wa

Baada ya kumaliza chuo alikosa kazi.

Alikataa kujiunga na Jeshi hata baada ya nafasi kutoka, licha ya ugumu wa maisha alio kuwa nao.

Alio bora aendelea kuwa dereva Tax na kufanya usafi gym ilikutimiza ndoto zake 

Huyu anaitwa John Felix Antony Cena au John Cena.

Ugumu wa
Sonninoโšก (@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ฒ Usibaki nyuma kwenye dunia ya biashara ya kidijitali! Ni wakati wako wa kuonesha jinsi unavyofanya hustle yako kidigitali na @NoOnes! Ni wakati wako Tembelea sasa๐Ÿ‘‰ noones.com

๐Ÿ“ฒ Usibaki nyuma kwenye dunia ya biashara ya kidijitali!

Ni wakati wako wa kuonesha jinsi unavyofanya hustle yako kidigitali na @NoOnes! Ni wakati wako 

Tembelea  sasa๐Ÿ‘‰ noones.com
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Hapo zamani za kale kulikuwa na dini moja tu ya wanao amini katika Mungu mmoja Wayahudi. Hakukuwa na Kanisa Katoliki wala Orthodox. Wakristo wa awali walikusanyika nyumbani. Hakukuwa na mapapa so mitume wote walikuwa sawa (Petro, Paulo, Yohana, nk) Lakini Ghafla shida

Hapo zamani za kale kulikuwa na dini moja tu ya wanao amini katika Mungu mmoja Wayahudi.

Hakukuwa na Kanisa Katoliki wala Orthodox.

Wakristo wa awali walikusanyika nyumbani. 

Hakukuwa na mapapa so mitume wote walikuwa sawa (Petro, Paulo, Yohana, nk)

Lakini Ghafla shida
AK47 (@iamofficialten) 's Twitter Profile Photo

โ€œNATAKA MUME WANGU ASIMWANGALIE WALA KUMPENDA MWINGINE. NATAKA AJISKIE AMANI AKIWA NA MIMI TUโ€ Ni Maneno Ya Bi Suwabu, Mganga aliyempa Halima Limbwata au dawa ili mumewe asiweze kumsaliti lakini akajikuta anammaliza mumewe kwa mikono yake. Thread๐Ÿ“š

โ€œNATAKA MUME WANGU ASIMWANGALIE WALA KUMPENDA MWINGINE. NATAKA AJISKIE AMANI AKIWA NA MIMI TUโ€

Ni Maneno Ya Bi Suwabu, Mganga aliyempa Halima Limbwata au dawa ili mumewe asiweze kumsaliti lakini akajikuta anammaliza mumewe kwa mikono yake.

Thread๐Ÿ“š
Dullah_theKing๐ŸŽง (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Heineken Silver iliweka standard mpya! Watu walitoka na vibe, wakarudi na kumbukumbu furaha ilitawala kila kona. #SuprisinglySmooth #SmoothExperience

Heineken Silver iliweka standard mpya!
Watu walitoka na vibe, wakarudi na kumbukumbu furaha ilitawala kila kona.

#SuprisinglySmooth
#SmoothExperience