KIJ-MANI🧔🏻 (@kijanmakin) 's Twitter Profile
KIJ-MANI🧔🏻

@kijanmakin

True follower of the Prophet Muhammad صل الله عليه وسلم ❤️

ID: 1253723326159224833

calendar_today24-04-2020 16:32:52

2,2K Tweet

252 Followers

1,1K Following

Hizb ut Tahrir Tanzania (@hizb_tanzania) 's Twitter Profile Photo

KISA CHA MAZINGATIO MAKUBWA CHA AL-RABII BIN ZIYAD AL-HARITHY (RA) Umar ibn al-Khattab (ra) alisema: “Tangu nilipochaguliwa kuwa Khalifah hakuna yeyote aliyekuwa akinambia ukweli kama Rabi’ bin Ziyad” Mji wa Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) ulikuwa unaendelea kupoa majonzi yake

KISA CHA MAZINGATIO MAKUBWA CHA AL-RABII BIN ZIYAD AL-HARITHY (RA)

Umar ibn al-Khattab (ra) alisema: “Tangu nilipochaguliwa kuwa Khalifah hakuna yeyote aliyekuwa akinambia ukweli kama Rabi’ bin Ziyad”  

Mji wa Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) ulikuwa unaendelea kupoa majonzi yake
KIJ-MANI🧔🏻 (@kijanmakin) 's Twitter Profile Photo

Wanachotarajia raia Wajiandikishe+Wapige Kura+ Apite waliemchagua+awatatulie shida zao zote kwa sababu inawezekana Lakini miaka iliopita ni shahidi kuwa utaratibu hauwezekani Kwani kila anaepita anatekeleza maagizo ya chama na sio maagizo ya raia ZINDUKENI

Al'faqeer (عبدالرحمن المرزوقي) (@smilingheart98) 's Twitter Profile Photo

Nuhu alikuwa muislamu 👇👇 Lakini mkigeuka, basi mimi sikukuombeni ujira. Ujira wangu hauko ila kwa Mwenyezi Mungu. Na nimeamrishwa niwe miongoni mwa Waislamu. Qur'an 10:72

Hizb ut Tahrir Tanzania (@hizb_tanzania) 's Twitter Profile Photo

UISLAMU PEKEE NDIO UTAKAONUSURU WANADAMU NA UKANDAMIZAJI WA KODI Habari: Tarehe 4 Oktoba 2024, Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi ilizinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam. Tume hiyo itakuwa na jukumu la kufanya mapitio ya sera zilizopo za kodi na kuainisha maeneo ya marekebisho,

UISLAMU PEKEE NDIO UTAKAONUSURU WANADAMU NA UKANDAMIZAJI WA KODI

Habari:
Tarehe 4 Oktoba 2024, Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi ilizinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam. Tume hiyo itakuwa na jukumu la kufanya mapitio ya sera zilizopo za kodi na kuainisha maeneo ya marekebisho,
Hizb ut Tahrir Tanzania (@hizb_tanzania) 's Twitter Profile Photo

MAKUNDI MANNE YANAYOIANGAMIZA GAZA Gaza inaangamizwa na makundi manne: 1. Watawala wa nchi za kiislamu:- - Misri - Saudia Arabia - Pakistan - Jordan - Iraq - Iran - Uturuki nk. 2. Masheikh wa Serikali 3. Ummah wa kiislamu na 4. Majeshi katika nchi za Kiislamu.

Hizb ut Tahrir Tanzania (@hizb_tanzania) 's Twitter Profile Photo

YAKUFANYA UNAPOFIKWA NA MITIHANI Shekh Abbas Hussei Hafidhwahullah Pahala: Masjid: Riyadh, Magogoni Zanzibar (Jitimai ya zamani/Maktaba ya Afrika Muslims Ajensi) #KhilafahNdioMkombozi

Tanzania Muslims Intellectual Forum (@muslims_forum) 's Twitter Profile Photo

FREE SPEECH Does Islam promote gender Segregation? Dr.Nazreen Nawaz defend Islam by saying.. Islam is far from gender Segregation.. it just separate the two genders in some events to protect their dignity.. She gave strong arguments as counter attack of the western claims

Tanzania Muslims Intellectual Forum (@muslims_forum) 's Twitter Profile Photo

MKUTANO WA TIPSO 2024 Mada: Shule ya Kiislamu Sheikh Yassin. Shule za Kiislamu zilianza mwaka 1984 baada ya kuasisiwa shule ya Masijd Quba. Je, unaona tunashule za Kiislamu? Nini maoni yako?

MKUTANO WA TIPSO 2024 

Mada: Shule ya Kiislamu 

Sheikh Yassin. 
Shule za Kiislamu zilianza mwaka 1984 baada ya kuasisiwa shule ya Masijd Quba. 

Je, unaona tunashule za Kiislamu? Nini maoni yako?
Hizb ut Tahrir Tanzania (@hizb_tanzania) 's Twitter Profile Photo

UBEPARI CHANZO CHA MAUAJI YA KIMBARI DUNIANI Mauaji ya kimbari ni mauaji yote yale ambayo hulenga kundi fulani la jamii ima kutokana na rangi zao, kabila, utaifa, dini nk. Maana hii ilianza rasmi kutumika mnamo mwaka 1944 ikijaribu mwanzo kumaanisha mauji yaliyokuwa yanafanywa

UBEPARI CHANZO CHA MAUAJI YA KIMBARI DUNIANI

Mauaji ya kimbari ni mauaji yote yale ambayo hulenga kundi fulani la jamii ima kutokana na rangi zao, kabila, utaifa, dini nk. 

Maana hii ilianza rasmi kutumika mnamo mwaka 1944 ikijaribu mwanzo kumaanisha mauji yaliyokuwa yanafanywa
KIJ-MANI🧔🏻 (@kijanmakin) 's Twitter Profile Photo

Usichukulie poa Ukikatzwa kutenda maovu Kwa sababu ipo siku utaulizwa, je hukukatzwa kutenda maovu? Halafu utakosa jibu na wakati jibu unalo