Kibwana Shomari (@kibwanashomar15) 's Twitter Profile
Kibwana Shomari

@kibwanashomar15

@YoungAfricansSC and National team player. πŸ”°πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
#TeacherThings πŸ˜ƒ

ID: 1390329008760446977

calendar_today06-05-2021 15:34:25

8,8K Tweet

167,167K Followers

38 Following

Kibwana Shomari (@kibwanashomar15) 's Twitter Profile Photo

Endelea kuishi katika malengo yako haijarishi ni mugumu gani utapitia ila wakati ukifika kila kitu kitabaki kuwa ni historia na utakuwa ni mshindi, kukata tamaa ni kujidharau. πŸ‘ŠπŸ«‘πŸ”° #TeacherThings 🫑

Endelea kuishi katika malengo yako haijarishi ni mugumu gani utapitia ila  wakati ukifika kila kitu kitabaki kuwa ni historia na utakuwa ni mshindi, kukata tamaa ni kujidharau. πŸ‘ŠπŸ«‘πŸ”°

#TeacherThings 🫑
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Mashindano ya Safari Lager Cup yamezinduliwa rasmi. Klabu ya Yanga SC tumekuwa mshirika rasmi wa Safari Lager kwenye mashindano haya ya kuibua vipaji Young Africans Sports Club X Safari Lager #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

Mashindano ya Safari Lager Cup yamezinduliwa rasmi. Klabu ya Yanga SC tumekuwa mshirika rasmi wa Safari Lager kwenye mashindano haya ya kuibua vipaji

Young Africans Sports Club X <a href="/safarilagertz/">Safari Lager</a> 

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Klabu yetu na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika(ACA) Eng.Hersi Said alivyotambulishwa Bungeni leo na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu.