@kevin_mwebi
UnAppologetic myself
ID: 1572896417143717888
calendar_today22-09-2022 10:33:17
718 Tweet
79 Followers
137 Following
10 days ago
Mtu anajua kuomba repost lakini ukimshow aende church anajam
Nafeel nikama kuna mtu ananimiss
Kurudisha deni on time inakuanga one way of increasing a loan limit
Hizo ngoma za toxic lyrikali nne sai labda waskize na kasongo
9 days ago
Silent moves na unaenda wrong turn
Unpopular opinion,Tems hukua our African sza
Asset ni yako lakini mtu anadai kuleta Bei yake,nkt!!
8 days ago
Una promise single mother utamufunzia mtoto tuition unaletwa kinembe Adi Kwa uso
6 days ago
Wasapere hudhani kila mtu huelewa iyo lugha yao
Uyu aliacha crop top kwangu ati ana mark territory sku izi naivaa kama vest
5 days ago
Lately life imegeuka ikakua solo mission,nikama tunacheza call of duty
Talking stage na this older babes wa 30 to 35 years hukua weird,huyu ananiuliza atatoa wapi mbegu za kunde
Sku izi ata comfort zone imekua uncomfortable
4 days ago
Undhani na overshare kumbe nakudanganya
3 days ago
Dem yako tume mpea vape hapa akatoa kiberiti
Mancity kupigwa labda na bu'twaa
2 days ago
Alafu izo conspiracy theories zako za why God does not exists jiekee
Tattoo ya john 3;16 inaeza fanya uende hell?,asking for a a friend
a day ago
Benefits za kudate madem wanono ni ati hawaezi jump into conclusions
Watu wa ushagoo wakiamua hutatoboa nairobi ni ivo