Khaleef Jr Joshman (@kendrickjoshman) 's Twitter Profile
Khaleef Jr Joshman

@kendrickjoshman

kennyluv

ID: 1432725358235865089

calendar_today31-08-2021 15:22:32

24,24K Tweet

340 Followers

803 Following

OSCAR MSANZI (@oscarmsanzi) 's Twitter Profile Photo

Maisha ni mapambano ya kimya kimya, kila mtu ana pambana na mzigo wake , huku kwa nje akitabasamu kana kwamba Hana shida 😎 .

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Jana ndio kwa mara ya KWANZA tangu nizaliwe ndio nasikia kuwa hii nchi ina RASILIMALI CHACHE. Hapo hapo nakumbuka kauli ya KAGAME alituambia “Kama angekuwa na BANDARI YA DAR ES SALAAM—angeweza kuziendesha nchi zote za Africa Mashariki”. Nachoka mimi SATIVA.

John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Huyu Bonge (Wicknell) ndiye aliyehusika na mchongo wote wa lile Kontena la Silaha lililoagizwa na Abduli. Huyu ni mtu wa karibu sana wa Lazarus Chakwera ambaye ameteuliwa na Jumuiya ya Madola kuja Tanganyika kusaidia kufanikisha Maridhiano. Huu Usenge tumeukataa, Tukutane #D9.

Huyu Bonge (Wicknell) ndiye aliyehusika na mchongo wote wa lile Kontena la Silaha lililoagizwa na Abduli.

Huyu ni mtu wa karibu sana wa Lazarus Chakwera ambaye ameteuliwa na Jumuiya ya Madola kuja Tanganyika kusaidia kufanikisha Maridhiano.

Huu Usenge tumeukataa, Tukutane #D9.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

"Kama SADC itashindwa kulaani uchaguzi bandia wa Tanzania na ukatili mkubwa uliofanyika, basi wanahusika na ni lawama yao pia,” anasema Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama. “SAMIA SULUHU si rais wa Tanzania. Hana uhalali wowote.” REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵😎