Mr Stan (@kapsjr) 's Twitter Profile
Mr Stan

@kapsjr

A servant of Jesus/Preacher/A student of Bible/A mass communicator

ID: 1164101090759053312

linkhttp://sirizabible.blogspot.com calendar_today21-08-2019 09:05:16

3,3K Tweet

306 Followers

204 Following

Mr Stan (@kapsjr) 's Twitter Profile Photo

Mk 8:38 38Maana kila mtu atakayenionea haya mimi, na maneno yangu, katika kizazi hiki cha UZINZI na dhambi Hapo kwenye uzinzi ndiyo msiba wa kanisa la leo ulipo, huduma nyingi zimeyeyuka, watu wengi wamepotea na kuacha wokovu. Ndiyo mana Yesu anaitaja kana kwamba ni dhambi kuu

Mr Stan (@kapsjr) 's Twitter Profile Photo

Ratiba yako ya kiroho ndiyo itakayoamua uwe mkristo wa viwango gani na wa aina gani, Je! wa kawaida au yule usiyezuilika katika matokeo ya kiungu. Ndugu yangu katika Bwana wanawake wengi ni wazuri sana lakini ukiwa bize rohoni utawaona kama wanaume. Kuwa bize rohoni hautazuilika.

Mr Stan (@kapsjr) 's Twitter Profile Photo

Ayubu 28:24 [24]Maana anatazama hata miisho ya nchi, Na kuona chini ya mbingu nzima. Hii ndiyo tofauti ya Mungu na mwanadamu. Wakati wewe unaona giza Tanzania, Mungu anaitazama nuru

Mr Stan (@kapsjr) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA MPYA IMEZALIWA KUHANI ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Paschal Mover. Kila mtu atashuhudia wazi wazi Waebrania 10:38 [38]Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani; Naye akisita-sita, roho yangu haina furaha naye. Asikiaye na afahamu

Mr Stan (@kapsjr) 's Twitter Profile Photo

Yakobo 1:25 [25]Lakini aliyeitazama sheria kamilifu iliyo ya uhuru, na kukaa humo, asiwe msikiaji msahaulifu, bali mtendaji wa kazi, huyo atakuwa heri katika kutenda kwake. Kubali kuwa mtendaji wa neno uwe mwamba usiotikisika. Hapo ukiwa na maombi Roho atawasha moto usiozuilika.

Dory'n๐Ÿ’†๐ŸŒนโœจ (@dorynbraids) 's Twitter Profile Photo

Harakati za Karanga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Deliveries huko na kule ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Haya karibuni matajiri niwauzie karanga nzuriiiiiii Bei ni sh 1000,5000,10000,20000 Nipo makumbusho apa saivi Karibu nikuhudumie

Harakati za Karanga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Deliveries huko na kule ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Haya karibuni matajiri niwauzie karanga nzuriiiiiii

Bei ni sh 1000,5000,10000,20000
Nipo makumbusho apa saivi 
Karibu nikuhudumie
Mr Stan (@kapsjr) 's Twitter Profile Photo

"Anaonekana mwanaume mwenye kundi kubwa la watu nyuma yake kuliko malkia akichukua form ya urais CCM" Kuna mtu amesema. Maji kama kishindo cha mafuriko hayatazuilika hata juu ya sauti za waoga. Ngoja tusubirie majira ya sauti ya msemaji.

Samson Ernest (@samsonernest_) 's Twitter Profile Photo

Leo tunahitumisha safari ya siku 12 ya kusoma kitabu cha Mhubiri, kitabu hichi kina sura 12, tunasoma sura 1 kila siku na kutafakari. Hili linafanyika katika kundi la wasapu kwa miaka 10 sasa, ukihitaji kuungana na wanaosoma biblia, tuma ujumbe wako wasapu na +255759808081.

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Nakukumbusha, mwanadamu, wote tutakufa, tukifufuka. Tutaibukia mbele ya kiti cha enzi cha hukumu cha Mungu. Atakuwepo Yesu kwenye kiti cha hukumu. Pale ndipo Yesu atabagua kondoo na mbuzi. Okoka leo hujachelewa. Wokovu ni sasa.

๐†๐ข๐๐ข๐จ๐ง ๐Œ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ฅ๐š๐ฌ๐ฒ๐š (@mtumwawayesu) 's Twitter Profile Photo

๐‹๐€๐–๐„๐™๐€ ๐Š๐”๐“๐Ž๐Š๐„๐€ โšฐ๏ธ "BWANA akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-Gileadi akaanguke?..... Basi angalia, BWANA ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye BWANA amenena mabaya juu yako" 1 Falme 22:20,23

๐‹๐€๐–๐„๐™๐€ ๐Š๐”๐“๐Ž๐Š๐„๐€ โšฐ๏ธ
"BWANA akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-Gileadi akaanguke?..... Basi angalia, BWANA ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye BWANA amenena mabaya juu yako" 1 Falme 22:20,23
Mr Stan (@kapsjr) 's Twitter Profile Photo

Watu wa neema wanasema mtu hawezi kuingia mbinguni kwa matendo ya sheria? Matendo ya sheria ni yapi ๐Ÿค” Huwa hawasemi.