kalege machu (@kalegemachu) 's Twitter Profile
kalege machu

@kalegemachu

ID: 1443218506124865547

calendar_today29-09-2021 14:19:34

1,1K Tweet

802 Followers

3,3K Following

Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

Kuliko kugawa kondom za bure ni bora wange gawa pedi kwa hawa watoto wakike vijijini wanaokosa masomo kwa kutopenda...🤔😇

Spana & V.A.R Movement (@spana_konki) 's Twitter Profile Photo

Vijana wa Kike wakiwa na kina Baba Wazee huwa mnaona sawa, ila Kijana wa kiume akitoka na Mwanamama aliyemzidi Umri mnataka kumfungulia hadi Space🤷🏿‍♂️ Like seriously?? Don't you have anything else better to do in life than complain about Serengeti Boys?

Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

R.I.P "CHEIK ISMAEL TIOTE" ✍ Licha ya familia yake kuwa na huzuni na majonzi yasiokuwa na mfano pia familia ya mpira ilikua na huzuni kubwa mnoo Kumpoteza Cheik Tiote Siku ambayo haitasahaurika kwenye historia ya mpira June 2017.

R.I.P "CHEIK ISMAEL TIOTE"  ✍

Licha ya familia yake kuwa na huzuni na majonzi yasiokuwa na mfano pia familia ya mpira ilikua na huzuni kubwa mnoo Kumpoteza Cheik Tiote 

Siku ambayo haitasahaurika kwenye historia ya mpira June 2017.
goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

BACK BENCHA tunakujuza usichokijua: Sh.20 ya Tanzania iliitwa PAUNDI kwakuwa ilikuwa sawa na POUND 1. NA Sh.5 ya Tanzania iliitwa Dala kwakuwa ilikuwa sawa na Dollar 1. 20TSH = 1 POUND 5TSH = 1 DOLLAR watoto wa 2000 haya mambo hayawahusu.😂😂

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Nani yupo tayari kesho tuanze mchakato wa kufungua na kusajili kesi (Miscellaneous Cause) mahakama kuu (masijala kuu) Dar es Salaam kupinga tozo za kielektroniki za miamala? Tumshtaki waziri wa fedha.. ambao mtakuwa tayari sema hapo chini.. tuache kulalamika!

Purity (@purywizzy) 's Twitter Profile Photo

Dear ladies Kama una date na mwanaume ambaye bado hajafanikiwa kiuchumi jitahidi kumuombea sana kumpa support wanapitia changamoto ngumu sana Kama utashindwa muache usimpelekee maisha yako ya anasa ambayo hata baba yako kashindwa kuyatimiza wanahitaji Amani.