Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile
Kaji

@kaji_sijo

LFC๐Ÿ”ด. Uzi HQ ๐Ÿงต. Content Creator ๐Ÿ‘ฝ

ID: 1897651028012441600

calendar_today06-03-2025 14:10:52

7,7K Tweet

9,9K Followers

490 Following

Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kuanguka kwa Majimbo ya Kipapa, kulikuwa na mvutano mkubwa kati ya Kanisa Katoliki na serikali ya Italia kuhusu hadhi ya Papa na Vatican. Serikali ya Italia ilijaribu kutatua mzozo huu kupitia Sheria ya Dhamana (Law of Guarantees) ya mwaka 1871, lakini Papa alikataa

Baada ya kuanguka kwa Majimbo ya Kipapa, kulikuwa na mvutano mkubwa kati ya Kanisa Katoliki na serikali ya Italia kuhusu hadhi ya Papa na Vatican. 

Serikali ya Italia ilijaribu kutatua mzozo huu kupitia Sheria ya Dhamana (Law of Guarantees) ya mwaka 1871, lakini Papa alikataa