KAGAME JR (@kagamejr4) 's Twitter Profile
KAGAME JR

@kagamejr4

THINKER

ID: 1303586996598734848

calendar_today09-09-2020 06:55:26

1,1K Tweet

4,4K Followers

5,5K Following

KAGAME JR (@kagamejr4) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu Halotel_Tanzania ni matapeli.Yaani juzi nimejiunga kifurushi cha elfu 10 (Royal bundle)nikapewa dk 200 mitandao yote na Gb 5.Leo naambiwa dakika zimeisha,Simu yangu natumia mwenyewe sijazitumia zote hzo ila naambiwa zimeisha.