
Kabila Junction
@kabilajunction
Food, Drinks & Entertainment ๐ฑ๐น๐ป| Serengeti Road Arusha | 0743147017
ID: 1962171218670276608
31-08-2025 15:11:18
39 Tweet
36 Followers
9 Following


Tuachane na wale chelsea ni matapeli, ๐คฃ Wewe utabiri wako unakwendaje hapa? Hii game watu wote wa Arusha wanaichekia Kabila Junction



Hili chimbo linapatikana Arusha mjini Kabila Junction ukiachana na huduma zake bora pia ni sehemu sahihi ya kucheki game za hii wikiendi. Bei zao ni rafiki sana na kizalendo usiogope, chimbo la kwenda kupiga picha za photo dump hili๐๐๐๐



Unataka nini tena masta wangu?kama uko Chugga chimbo la kutulia na kuchekia game ukiwa umepoa ni Kabila Junction mkuu. Misosi ya vinywaji kwa bei ya kizalendo vinapatikana pia. Njooni nyote, njoo na bebi wako, njoo na familia, si tukutane huko?





Unaweza kusema ni china kumbe ni Arusha Kabila Junction wamejipanga kuwaburudisha wana Arusha leo wacha tukacheki manchester derby hapo


Kwa mara ya kwanza Man U anakwenda kulambwa na mechi tutaangalia Kabila Junction

Wanangu wa Manchester United Leo tunakutana Hapa Kabila Junction sehemu nzuri ya Kutazama Mpira mzuri wa Utd. For Reservation, tupige kwa โ๏ธ 0743 147 017


A city sehemu ni moja tu ya kula, kunywa na kucheki game ya Manchester United vs Man City Leo Kabila Junction sehemu nzuri ya Kutazama United wakikandwa For Reservation, tupige kwa โ๏ธ 0743 147 017





