⚙️Jost Festo Felix🔧 (@jostfesto) 's Twitter Profile
⚙️Jost Festo Felix🔧

@jostfesto

PAtIEnCE, MeCAnICs,BwaNaShaMBa,Ma SelFLIfe✌🏿 #mTUwAWaTU

ID: 1595724973922045955

calendar_today24-11-2022 10:24:25

1,1K Tweet

547 Followers

1,1K Following

Chief godlove (@chiefgodlove1) 's Twitter Profile Photo

Ndio najua mlioko twitter ni vijana much know mnaojua kilakitu nawaongezea na hii msisahau wazazi wenu kwenye issue ya wazazi weken ujuaji nyuma

Chief godlove (@chiefgodlove1) 's Twitter Profile Photo

Leo ndio nimeamini ule usemi wa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie naweza nikawa mchawi shetwain sifai katika machoni pa mungu ila siwezi kufanya ushetani wa desgn hii wanawake mpendane Nyinyi Ndio Mmetulea Tunawaomba Tafadhali sana!!!!!!!!!!!

Chief godlove (@chiefgodlove1) 's Twitter Profile Photo

Nisiwe muongo Chama Cha Mapinduzi ni chama kilichangia kupata mtaji wangu wa kwanza 2014 Mimi sio Mwanasiasa na wala sitamani kua ila kuna namna Chama Cha Mapinduzi ilinipa support kipindi natoka siwezi elezea ilikuaje ila ilichangia imechangia mimi kua hivi nilivyo ni sawa na njiti ya

Nisiwe muongo <a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a> ni chama kilichangia kupata mtaji wangu wa kwanza 2014 Mimi sio Mwanasiasa na wala sitamani kua ila kuna namna <a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a> ilinipa support kipindi natoka siwezi elezea ilikuaje ila ilichangia imechangia mimi kua hivi nilivyo ni sawa na njiti ya
Chief godlove (@chiefgodlove1) 's Twitter Profile Photo

HakunA mwanaharakati anaekupambania wewe 100 percent asiwe na maslah ya tumbo lake usitumike mwanangu amka Pambana Kaza focus na maisha yako wanaharakati waache na harakati zao wewe Kazana na familia yako kumbuka harakati ZA mtu mwingine hazitolisha familia yako wacha kushabikia

Chief godlove (@chiefgodlove1) 's Twitter Profile Photo

MPAKA SASA HAKUNA NGOMA INGINE INAYOTIKISA VICHWA VYA HABARI NA MIOYO YA WATU KAMA HILI GOMA HIPHOP INATAKIWA KUHESHIMIKA USIFANANISHE HIPHOP NA MIZIKI YA WALEVI HIPHOP NI HIPHOP DUNIANI WASANII WA HIPHOP NDIO WANAOONGOZA KWA FEDHA SIO KISINGELI youtu.be/0eTUTv8l7qw?si… NDANI YA

MPAKA SASA HAKUNA NGOMA INGINE INAYOTIKISA VICHWA VYA HABARI NA MIOYO YA WATU KAMA HILI GOMA HIPHOP INATAKIWA KUHESHIMIKA USIFANANISHE HIPHOP NA MIZIKI YA WALEVI HIPHOP NI HIPHOP DUNIANI WASANII WA HIPHOP NDIO WANAOONGOZA KWA FEDHA SIO KISINGELI 

youtu.be/0eTUTv8l7qw?si…
NDANI YA