Jooozey (@joseph02086822) 's Twitter Profile
Jooozey

@joseph02086822

HIP-HOP FAN,
Medical personnel,
Businessman🏁,
Tanzanian🌍,
Facebook Joseph paramon.

ID: 1064460054760427521

calendar_today19-11-2018 10:07:08

133 Tweet

20 Followers

73 Following

Jooozey (@joseph02086822) 's Twitter Profile Photo

Siku upangwa na Muumba, Siku upangwa sahihi, Siku upangwa Uishi, Ukosee ujisahihishe kwa matendo mema, Ndo siku upangwa IISHE. #Achieving__greatness

Jooozey (@joseph02086822) 's Twitter Profile Photo

Amani ya bwana iwe nanyi,Imani ya mwana iwe nami, amani Sana iwe mtaani tunaposaka Imani ya jana ije nyumbanii. #archieving__greatness #oneincredible.

Jooozey (@joseph02086822) 's Twitter Profile Photo

👉Nitokako kumenifunza kueleza na sio kutunga, Kueneza niliyojifunza, Kujenga na sio kuvunja........... 👉Hatubusu miguu Bora kulamba nyasi,hasara nikua ZUZU na pesa makaratasi tu, tumechafukwa nafsi haifutiki doa, harusivna huu mkwanja haifutiki Ndoa.....

Jooozey (@joseph02086822) 's Twitter Profile Photo

👉Miongoni mwetu wapo waliotangulia kufika, kuchelewa kwetu ni kutangulia kusita,Ni wazi ukiendekeza watu utaambulia kutishwa, Tusipofanya kazi njaa itatushambulia kukichaa.. Stereo Singasinga

Jooozey (@joseph02086822) 's Twitter Profile Photo

👉Iambie Dunia niliishi kutokana na mazingira, nilieshimu makabira sikuchokoza wenye hasira, Iambie Dunia Kila alieumia nilimwambia POLE nilihisi kumwambia SORRY Haina mashiko kihisia. Mtu Mfupi Mistari Mirefu

Jooozey (@joseph02086822) 's Twitter Profile Photo

👉I will lift my eyes to where my help comes from,and I won't be afraid of the shadow cause I've seen the sun, No I'll not stop, when the way gets hard cause the green only grows in the valley and that's where you are... I SHALL NOT WANT. Elevation Worship

Jooozey (@joseph02086822) 's Twitter Profile Photo

👉Siku hizi UTU umeamia kwenye mitandao ya kijamii(Social network) kuliko kwenye ubinadamu wenyewe POLE na HONGERA za kweny status zinaonekana kuwa na Nguvu kuliko simu ya kupigiwa na kutembelewa nyumbani,. KUA MAKINI KUNA MDA SIMU ITAZIMA AU VOCHA ITAKOKOSEKANA. @Joooozey

Jooozey (@joseph02086822) 's Twitter Profile Photo

👉Life is when things happens so let it be, we learn how to behave from the same shit,ninajua hizo struggle for revolution and I knew it was a time for change so I CHANGE ME. ⚖️ Dizasta Vina

Jooozey (@joseph02086822) 's Twitter Profile Photo

👉Wakiweka milima Mimi naigeuza vitonga, ata nusu hatua ni hatua mdogo mdogo nikawa nasonga, japo ni Kwa mwendo wa kinyonga,Mbegu ili kuchipua lazima ioze kwanza mjomba. #KitaaREJEX OUT NOW..!!!

Jooozey (@joseph02086822) 's Twitter Profile Photo

👉Sihaidi kuwa baba mkamilifu,napambana japo mi Ganda la udhaifu, Amani gharama usijiingize kwenye beef,kosea ujifunze ili usiigize utakatifu. 👉Pesa sabuni zitafute Kila siku, ukipata usikate watu mwenye Fedha ndo ana kisu. Dizasta Vina