johnson mkama (@johnson_mkama) 's Twitter Profile
johnson mkama

@johnson_mkama

@Arsenal ๐Ÿ”ดโ€ผ๏ธ
Wildlife ecologist||Conservationist
#Protectnature

ID: 1770104738303950848

calendar_today19-03-2024 15:07:33

1,1K Tweet

116 Followers

539 Following

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Kila mtu amepewa karama yake, kadri yake, kudra yake, na kwa muda wake. Lakini si wote tunaotulia kuzitambua na kuzitumia kwa makini. Maisha ni mtego wa maamuzi. Ukikosea kutegua, unaweza kuvuruga yote uliyopewa.

Mfaume (@mfaacomini) 's Twitter Profile Photo

Wakati mwingine tunahitaji kupitia nyakati ngumu, ili kujua nani ni familia, nani ni rafiki, na nani ni mpita njia tu katika maisha yetu.โœ๏ธ Good morning, FAM ๐Ÿค

Kunta Kinte โ™ป๏ธ (Markowitz) (@lumixha) 's Twitter Profile Photo

Maisha tunayo yapigania kila siku yanaweza kupoteza maana ndani ya sekunde moja tu kwa hio tujitahidi kupata muda wa sala na kusaidia wahitaji. Good morning strugglers ๐Ÿ‘‹๐Ÿผ

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi huanza biashara ndogo na kukata tamaa haraka kwa sababu faida ni ndogo. Lkn ukweli ni kuwa, mwanzoni wakati wa kujenga tabia, wateja, uaminifu na mzunguko wa pesa. Faida kubwa huja baada ya kujifunza, kuvumilia na kujenga misingi.

Jeany (@jeju_julius) 's Twitter Profile Photo

Katika maisha kuwa mipaka sio kila mtu awe rafiki au muongozane kila sehemu au akujue maisha yako jali mambo yako fanya kazi kwa bidii utafika mbali zaidi kitana na watu wenye future mbele ushauri hivyo ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ“Œ

Jack (@jacklyn_gg) 's Twitter Profile Photo

Tunaojua uhai tulionao ni mali ya Mungu bali sisi tumepewa kwa muda tuu, tusiache kumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama Good morning my friends

GIFT WILLIAM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@giftwilliam_) 's Twitter Profile Photo

Amka ukiwa na mpango na ratiba ya siku husika, kama unamambo mengi basi yaandike ili siku iende kwa mpangilio ulioupanga. Good morning great people.

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #NBCPremierLeague โšฝ๏ธ Tanzania Prisons๐Ÿ†šYoung Africans SC ๐Ÿ“† 18.06.2025 ๐ŸŸ Sokoine ๐Ÿ•– 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ

๐Ÿ† #NBCPremierLeague 
โšฝ๏ธ Tanzania Prisons๐Ÿ†šYoung Africans SC
๐Ÿ“† 18.06.2025
๐ŸŸ Sokoine 
๐Ÿ•– 10:00 Jioni 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko