Joel Msuya (@joelymsuya) 's Twitter Profile
Joel Msuya

@joelymsuya

Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA taifa || Katibu wa BAVICHA mkoa wa ILALA || Activist & Human Right Defender || Politician || Raisi wa Tanzania 2055

ID: 1535982231424057344

calendar_today12-06-2022 13:48:12

122,122K Tweet

10,10K Followers

1,1K Following

Edison Myinga (@edisonmyinga1) 's Twitter Profile Photo

Ni wazi kuwa sheria za ardhi nchini Tanzania zina mapungufu mengi ya kimfumo, kisera, na utekelezaji. Uboreshaji wa sheria hizi ni wa lazima ili kulinda haki za wananchi na kupunguza migogoro #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Ili kuchochea maendeleo endelevu, na kuhakikisha usawa wa kijinsia na kijamii katika umiliki wa ardhi, Marekebisho ya sheria za ardhi lazima yaendane na mabadiliko ya kikatiba na ya kisera #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Sheria zetu za ardhi zina upendeleo katika Ugawaji wa Ardhi kwa Wawekezaji. Wawekezaji wakubwa hupata ardhi kwa urahisi kuliko wananchi wa kawaida, jambo linaloibua hisia za kutengwa kwa wananchi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kutokuwepo kwa Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji ni changamoto ya sheria zetu za ardhi. Vijiji vingi havina mipango ya matumizi ya ardhi, hali inayochangia migogoro ya ardhi na matumizi yasiyoendelevu #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: HECHE AMVAA VIKALI RAIS SAMIA, MAWAKILI WA SERIKALI KESI YA LISSU, "HATUKATI TAMAA" Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amvaa vikali mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Samia Suluhu kwa madai kwamba anamuogopa Mwenyekiti wao wa CHADEMA, Tundu Lissu,

Joel Msuya (@joelymsuya) 's Twitter Profile Photo

Katika nchi yetu kuna mifumo ya kumbukumbu ya ardhi kuwa ya mkono na isiyo salama. Taarifa nyingi za umiliki wa ardhi huandikwa kwa mkono, hivyo kurahisisha wizi, upotevu na mabadiliko ya nyaraka kwa udanganyifu #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi..

Kuna ukosefu wa uratibu kati ya sekta ya ardhi, mazingira na uwekezaji nchini. Sheria hazijaunganishwa kwa namna inayorahisisha uamuzi wa pamoja wa kiutawala, hali inayozua migongano kati ya mipango ya ardhi na sera za uwekezaji #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi....

Katiba ya 1977 haijajumuisha haki ya kumiliki ardhi kama haki ya msingi. Haki ya kumiliki ardhi haipo miongoni mwa haki za kikatiba za moja kwa moja, hivyo kudhoofisha msingi wa haki ya kumiliki ardhi kwa wananchi wote #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi..

Martine Abdul Kandore (@martinabdul14) 's Twitter Profile Photo

Mh Katibu wa kanda ya Pwani Ntele B H amekuwa akituita CHASO na kutupatia ushauri na kututia moyo kwenye mapambano ofisini Mara kwa mara. Tunaona mapambano yako yanatupa nguvu ya sisi kuendelea kupambana na tunaamini tutashinda keep the fight higher my brother ๐Ÿ‘Š

Mh Katibu wa kanda ya Pwani  <a href="/ntele_bh/">Ntele B H</a> amekuwa akituita CHASO na kutupatia ushauri na kututia moyo kwenye mapambano ofisini Mara kwa mara.

Tunaona mapambano yako yanatupa nguvu ya sisi kuendelea kupambana na tunaamini tutashinda keep the fight higher my brother ๐Ÿ‘Š
Joel Msuya (@joelymsuya) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wakiimba nyimbo za #NoReformsNoElection wakati Mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu alipokuwa akiondolewa na msafara wa askari magereza katika viunga vya mahakama mara baada ya kesi yake kuhairishwa mpaka tarehe 18-08-2025. #FreeTunduLissu

Joel Msuya (@joelymsuya) 's Twitter Profile Photo

Katiba ya 1977 haijajumuisha haki ya kumiliki ardhi kama haki ya msingi. Haki ya kumiliki ardhi haipo miongoni mwa haki za kikatiba za moja kwa moja, hivyo kudhoofisha msingi wa haki ya kumiliki ardhi kwa wananchi wote #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi..

Katiba ya 1977 haijajumuisha  haki ya kumiliki ardhi kama haki ya msingi. Haki ya kumiliki ardhi haipo miongoni mwa haki za kikatiba za moja kwa moja, hivyo kudhoofisha msingi wa haki ya kumiliki ardhi kwa wananchi wote  #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi..
Joel Msuya (@joelymsuya) 's Twitter Profile Photo

Ni wazi kuwa sheria za ardhi nchini Tanzania zina mapungufu mengi ya kimfumo, kisera, na utekelezaji. Uboreshaji wa sheria hizi ni wa lazima ili kulinda haki za wananchi na kupunguza migogoro #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi.,

Sheria zetu za ardhi zina upendeleo katika Ugawaji wa Ardhi kwa Wawekezaji. Wawekezaji wakubwa hupata ardhi kwa urahisi kuliko wananchi wa kawaida, jambo linaloibua hisia za kutengwa kwa wananchi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi.,

Kutokuwepo kwa Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji ni changamoto ya sheria zetu za ardhi. Vijiji vingi havina mipango ya matumizi ya ardhi, hali inayochangia migogoro ya ardhi na matumizi yasiyoendelevu #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi..

Ili kuchochea maendeleo endelevu, na kuhakikisha usawa wa kijinsia na kijamii katika umiliki wa ardhi, Marekebisho ya sheria za ardhi lazima yaendane na mabadiliko ya kikatiba na ya kisera #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi.,

Kutokuwepo kwa udhibiti madhubuti wa matumizi ya ardhi kumesababisha uharibifu wa mazingira kama vile ukataji wa misitu na ujenzi holela. Hivyo kusababisha uharibifu wa Mazingira kutokana na Matumizi Mabaya ya Ardhi #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi...