Jerry Silaa
@jerrysilaa
Minister for Lands & Housing MP for Ukonga | mPAP | BSC in Electronics Science & Communication UDSM | MBA MSM-Esami | LL.B-OUT | PGD LP-LST |
ID: 363573554
http://www.imc.go.tz 28-08-2011 09:32:14
8,8K Tweet
87,87K Followers
181 Following
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa Jerry Silaa amemuagiza Katibu Mkuu Wizara yake Eng. Anthony Sanga kuwasimamisha kazi Wapima Ardhi Enock Katete na Cleoface Ngoye kwa tuhuma za kuidhinisha na kubadilisha ramani ya eneo linalomilikiwa na Kanisa la
"Ardhi sio maji wala chakula utanunua kila wakati ni rasilimali, kwa hiyo tusichukulie mchakato wa kumiliki ardhi ghafla. Yoyote anayetaka kumiliki ardhi atumie muda wa kutosha kijiridhisha na sehemu pekee ya kufanya hivyo ni kwenye Ofisi za Ardhi "Jerry Silaa leo Jijini Tanga.