Jayjohn31
@jay_john31
ID: 1600839632375119872
08-12-2022 13:08:19
1,1K Tweet
830 Followers
905 Following
Kwa msiojua hii ni cover image ya ngoma ya Dizasta Vina ya karibu duniani, ayo maneno unayoyaona kwenye huo ukurasa ni ya kiyahudi yenye tafsiri ya "Welcome to planet earth" Ni ngoma ambayo unaweza quote kila verse, dizastavina anatukumbusha kuwa hiphop is still number one