
James Lekey
@jameslekey
Advocate, Notary Public & Commissioner for Oaths and
Parliamentary Draftsman
ID: 1252642595404165121
21-04-2020 16:58:18
339 Tweet
972 Followers
3,3K Following













Nilipopita hapa miezi 7 iliyopita niliwajuza kuhusu uwekezaji unaopangwa kufanyika hapa MAKAMBAKO. LEO Mhe Waziri Kitila Mkumbo (PhD) na RC Anthony Mtaka wamezuru kiwanda cha kuchakata parachichi. Na hali ni HII HAPA π NJOMBE ni π₯ #MwekezajiNiMtanzania







