Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profileg
Jalilu Zaid

@jaliluzaid

Creative Photographer | Mtanzania Mmoja Mbunifu | Chief of Staff at Kukeke Gang | Q’uran 93:5.

ID:1329696138

calendar_today05-04-2013 17:33:46

257,1K Tweets

138,0K Followers

923 Following

Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Kuna msemo mmoja wa Kiarabu unasema “Kama Tadinu Tudan”. Asiyeelewa maana yake aingia tu google aandike hivyo watampa maana yake.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Mi mtu akishakuwa na matusi au maneno ya kuvunjiana heshima hata kama tuna ukaribu gani, unaisha siku hiyo hiyo. Manake kama ameweza kupata ujasiri wa kumtukana mtu asiye wa karibu yake, siku ukimvuruga si ndio utadhalilika na anajua siri zako nyingi.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

What to gift a Lady who completed reading the whole Quran in the Holy Month of Ramadhan?

She was busy cooking for a family the whole month but she managed to read the whole Quran.

I need some Ideas guys.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Kuna vitu inakuwa rahisi kuvizungumzia au kuvichekea chekea ikiwa havikugusi wewe moja kwa moja au havipo katika familia yako. Ukimya katika mambo yasiyo yako ni kitu cha muhimu sana.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Mara nyingi watu wanaofanyiwa ubaya na fitna huwa hawana shida na mtu. Karama yao ni adabu na heshima kwa kila mtu. Huenda hicho ndio huwa kinaogofya wengine.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Ubaguzi wa aina yoyote haupendezi na sio kitu cha kushangiliwa na mtu yeyote. Hoja zinaweza kujengwa na kukawa na majadiliano kwa kuheshimiana na kustahamiliana.

account_circle
Jalilu Zaid(@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa katika nafasi ambapo kauli yako au jitihada zako kidogo zinaweza kumpa mtu ulaji wa maisha tafadhali fanya tena bila kutegemea malipo kutoka kwa huyo mtu. Kuna namna Mungu anaonyesha ukuu wake kupitia watu uliowatendea mazuri.

account_circle