RAH NGOMUO (@itc__reyna) 's Twitter Profile
RAH NGOMUO

@itc__reyna

female king mkulima/mfugaji memes lover

ID: 855903440547041285

linkhttps://instagram.com/itc_reyna?igshid=OGQ5ZDc2ODk2ZA== calendar_today22-04-2017 21:57:36

5,5K Tweet

27,27K Followers

504 Following

RAH NGOMUO (@itc__reyna) 's Twitter Profile Photo

It’s my birthday week baby! Niko kwenye mood ya kupendwa, kusherehekewa, na kupokea zawadi kwa mikono miwili 🎉🎂 #LoveMeLoudly 😁❤️‍🩹

It’s my birthday week baby!
Niko kwenye mood ya kupendwa,
kusherehekewa, na kupokea zawadi kwa mikono miwili 🎉🎂

#LoveMeLoudly

😁❤️‍🩹
RAH NGOMUO (@itc__reyna) 's Twitter Profile Photo

It’s my birthday week baby! Niko kwenye mood ya kupendwa, kusherehekewa, na kupokea zawadi kwa mikono miwili 🎉🎂 #LoveMeLoudly

It’s my birthday week baby!
Niko kwenye mood ya kupendwa,
kusherehekewa, na kupokea zawadi kwa mikono miwili 🎉🎂

#LoveMeLoudly
RAH NGOMUO (@itc__reyna) 's Twitter Profile Photo

Tumechaguliwa kwenye TOP 3 ya tuzo za Digital Men & Women of The Year (Biashara ya Kilimo) 🙌🏽 Bila nyinyi nisingefika hapa – AHSANTENI sana familia yangu ya Twitter! 🥹❤️ Mlijua kunipambania sana Naomba tena support yenu 🙏🏽 🗳️ JINSI YA KUPIGA KURA: 1️⃣ Nenda Instagram page:

Tumechaguliwa kwenye TOP 3 ya tuzo za Digital Men & Women of The Year (Biashara ya Kilimo) 🙌🏽
Bila nyinyi nisingefika hapa – AHSANTENI sana familia yangu ya Twitter! 🥹❤️
Mlijua kunipambania sana 

Naomba tena support yenu 🙏🏽
🗳️ JINSI YA KUPIGA KURA:
1️⃣ Nenda Instagram page:
RAH NGOMUO (@itc__reyna) 's Twitter Profile Photo

Kila tone la jasho, kila usiku wa kukata tamaa, kila maombi niliyonyamaza nayo moyoni leo vina maana. Tuzo hii siyo tu ya ushindi, ni ya ushuhuda🙏🏾 Kwamba mwanzo mdogo hauwezi kuficha neema kubwa. Asante Mungu kwa kuniamini hata pale nilipojiuliza kama naweza. Asante kwa familia,

Kila tone la jasho, kila usiku wa kukata tamaa, kila maombi niliyonyamaza nayo moyoni leo vina maana.
Tuzo hii siyo tu ya ushindi, ni ya ushuhuda🙏🏾
Kwamba mwanzo mdogo hauwezi kuficha neema kubwa.
Asante Mungu kwa kuniamini hata pale nilipojiuliza kama naweza.
Asante kwa familia,