School of Public Health KCMC University (@iphkcmuco) 's Twitter Profile
School of Public Health KCMC University

@iphkcmuco

Centre for excellence in Public health. Improving lives and wellbeing in communities through teaching and research.

ID: 1353709371444908035

linkhttps://iph.kcmuco.ac.tz/ calendar_today25-01-2021 14:22:15

252 Tweet

1,1K Followers

58 Following

Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Utambuzi wa dalili za hatari kwa mama mjamzito ni hatua muhimu katika kuzuia ucheleweshaji wa mjamzito kupata huduma. Penye changamoto ya usafiri wa haraka piga namba 115 kumsaidia mama mjamzito mwenye dalili za hatari m_mamatz #okoamaisha

Utambuzi wa dalili za hatari kwa mama mjamzito ni hatua muhimu katika kuzuia ucheleweshaji wa mjamzito kupata huduma.

Penye changamoto ya usafiri wa haraka piga namba 115 kumsaidia mama mjamzito mwenye dalili za hatari

m_mamatz #okoamaisha
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Tunashukuru kwa kutembea nasi na kutupa maoni jinsi ya kuboresha huduma ya elimu ya afya kwa jamii. Moja ya maoni ilikua ni kuwa na YouTube kwani sio wote wanaweza kutumia Spotify kusikiliza. Dr.Rafiki imekusikia na imefanya ✅ Subscribe and share! youtube.com/@doctorrafiki?…

Tunashukuru kwa kutembea nasi na kutupa maoni jinsi ya kuboresha huduma ya elimu ya afya kwa jamii.

Moja ya maoni ilikua ni kuwa na YouTube kwani sio wote wanaweza kutumia Spotify kusikiliza.

Dr.Rafiki imekusikia na imefanya  ✅

Subscribe and share!

youtube.com/@doctorrafiki?…
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Karibu kusikiliza podcast ya wiki hii tukiongelea #CommunityEngagement kwenye tafiti za afya kupitia; YouTube; youtu.be/T55Oicnoi4U?si… Spotify; open.spotify.com/episode/7jfPni… #DoctorRafiki

Karibu kusikiliza podcast ya wiki hii tukiongelea #CommunityEngagement kwenye tafiti za afya kupitia;

YouTube; youtu.be/T55Oicnoi4U?si…

Spotify; open.spotify.com/episode/7jfPni…

#DoctorRafiki
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Sepetember ni mwezi wa elimu juu ya kansa za watoto na kabla haujaisha, karibu kusikiliza Doctor Rafiki Africa safari ya Kelvin akielezea alipogundulika na kansa (miaka 10) akapata matibabu na kupona. Link; youtu.be/u_ATkYcqByk?si… AU open.spotify.com/episode/5lZQYH… #Childhoodcancersurvivor

Sepetember ni mwezi wa elimu juu ya kansa za watoto na kabla haujaisha, karibu kusikiliza Doctor Rafiki Africa safari ya Kelvin akielezea alipogundulika na kansa (miaka 10) akapata matibabu na kupona.

Link; youtu.be/u_ATkYcqByk?si…

AU
open.spotify.com/episode/5lZQYH…

#Childhoodcancersurvivor
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Afya ya akili inaweza kuathiri mfumo mzima wa maisha ya mtu iwe ni kwenye familia, mahusiano au kazini. Karibu Youtube account ya Doctor Rafiki kusikiliza episodes mbalimbali zinazozungumzia #Afyayaakili Bonyeza; youtube.com/@doctorrafiki?… #MentalHealthAwareness #Doctorrafiki

Afya ya akili  inaweza kuathiri mfumo mzima wa maisha ya mtu iwe ni kwenye familia, mahusiano au kazini.

Karibu Youtube account ya Doctor Rafiki kusikiliza episodes mbalimbali zinazozungumzia #Afyayaakili

Bonyeza; youtube.com/@doctorrafiki?…

#MentalHealthAwareness
#Doctorrafiki
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Few hour later I’ll join @Dr_kigombeye on a session prepared by TAMSA MUHAS to talk through #BreastCancer. 1900hrs Link; meet.google.com/big-hgkh-kjw Looking forward to engage with you! #PinkOctober

Few hour later I’ll join @Dr_kigombeye on a session prepared by TAMSA MUHAS to talk through #BreastCancer.

1900hrs
Link; meet.google.com/big-hgkh-kjw

Looking forward to engage with you!
#PinkOctober
School of Public Health KCMC University (@iphkcmuco) 's Twitter Profile Photo

Tomorrow as part of an ongoing collaboration, Prof. Sia Msuya from our institute will give a lecture at the School of Public Health in Tsinghua University on Adolescent Sexual and Reproductive health in Tanzania highlighting risks, opportunities and resilience. #GlobalHealth

Tomorrow as part of an ongoing collaboration, Prof. Sia Msuya from our institute will give a lecture at the School of Public Health in Tsinghua University on Adolescent Sexual and Reproductive health in Tanzania highlighting risks, opportunities and resilience.

#GlobalHealth
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Rafiki angu eeh! Oktoba ni mwezi wa elimu juu saratani ya matiti, fanya kubonyeza hapo link itakupeleka YouTube uongeze maarifa. Usiache kulike, share na subscribe ili elimu iwafikie wengi youtu.be/qRSMLFszCg8?si… youtu.be/MC1UIngiZ0s?si… #sarataniyamatiti #BreastCancerAwareness

Rafiki angu eeh!
Oktoba ni mwezi wa elimu juu saratani ya matiti, fanya kubonyeza hapo link itakupeleka YouTube uongeze maarifa. Usiache kulike, share na subscribe ili elimu iwafikie wengi

youtu.be/qRSMLFszCg8?si…

youtu.be/MC1UIngiZ0s?si…

#sarataniyamatiti
#BreastCancerAwareness
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Ugonjwa wa kansa unakuja na changamoto nyingi kwanzia udhaifu wa mwili, mabadiliko ya kimaumbile, gharama kubwa za matibabu na mengine mengi. Karibu katika episode hii ya Doctor Rafiki Africa tuzungumze zaidi. Spotify; open.spotify.com/episode/4fC9OM… YouTube: youtu.be/14L7R8nZUmw?si…

Ugonjwa wa kansa unakuja na changamoto nyingi kwanzia udhaifu wa mwili, mabadiliko ya kimaumbile, gharama kubwa za matibabu na mengine mengi.

Karibu katika episode hii ya Doctor Rafiki Africa tuzungumze zaidi.

Spotify; open.spotify.com/episode/4fC9OM…

YouTube: youtu.be/14L7R8nZUmw?si…
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Mambo Rafiki! Tarehe 17/11 ni siku ya Watoto Njiti duniani. Unajua maana ya watoto njiti? Karibu uungane nasi tuongee kuhusu watoto njiti na visababishi vyake kwenye Doctor Rafiki podcast😀 Bonyeza; youtu.be/pQABsN1xiw8?si… Au open.spotify.com/episode/4ynAkR…

Mambo Rafiki!

Tarehe 17/11 ni siku ya Watoto Njiti duniani. Unajua maana ya watoto njiti?

Karibu uungane nasi tuongee kuhusu watoto njiti na visababishi vyake kwenye Doctor Rafiki podcast😀

Bonyeza;
youtu.be/pQABsN1xiw8?si…

Au

open.spotify.com/episode/4ynAkR…
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Ziko sababu mbalimbali zinazoweza kupelekea mama kujifungua kabla ya wakati, yaan mtoto njiti. Ili kuzijua zaidi karibu usikilize podcast ya Doctor Rafiki Africa wiki hii tukijadili swala zima la mtoto njiti. Link; youtu.be/pQABsN1xiw8?si… #Doctorrafiki #Prematurebaby

Ziko sababu mbalimbali zinazoweza kupelekea mama kujifungua kabla ya wakati, yaan mtoto njiti.

Ili kuzijua zaidi karibu usikilize podcast ya Doctor Rafiki Africa wiki hii tukijadili swala zima la mtoto njiti.

Link; youtu.be/pQABsN1xiw8?si…

#Doctorrafiki
#Prematurebaby
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

At Doctor Rafiki we wish you a wonderful, prosperous and healthy 2025! This year we’re geared to walk with you towards a healthier lifestlye , stay tuned rafiki❤️ #doctorrafikipodcast

At Doctor Rafiki we wish you a wonderful, prosperous and healthy 2025!

This year we’re geared to walk with you towards a healthier lifestlye , stay tuned rafiki❤️

#doctorrafikipodcast
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Hi rafiki! Ufanisi wako kwenye kazi unaathiriwa moja kwa moja na afya yako ya akili. Iwe ni zile siku mawazo mengi au siku unautulivu, matokeo huonekana. Wiki hii karibu tuongeee namna ya kuboresha afya ya akili na ufanisi! Bonyeza hapa; open.spotify.com/episode/1OQ3X4… #doctorrafiki

Hi rafiki! Ufanisi wako kwenye kazi unaathiriwa moja kwa moja na afya yako ya akili. Iwe ni zile siku mawazo mengi au siku unautulivu, matokeo huonekana.

Wiki hii karibu tuongeee namna ya kuboresha afya ya akili na ufanisi!

Bonyeza hapa; open.spotify.com/episode/1OQ3X4…

#doctorrafiki
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku ya Neglected Tropical Diseases (NTDs) duniani, kiswahili yakiitwa Magonjwa ya kitropiki yasiyopewa kipaumbele. Katika episode hii ya Doctor Rafiki Africa podcast utajua ni magonjwa gani hayo na yanaweza kuathiri vipi afya ya mama na mtoto. Bonyeza: open.spotify.com/episode/6JDGtV…

Leo ni siku ya Neglected Tropical Diseases (NTDs) duniani, kiswahili yakiitwa Magonjwa ya kitropiki yasiyopewa kipaumbele.

Katika episode hii ya Doctor Rafiki Africa podcast utajua ni magonjwa gani hayo na yanaweza kuathiri vipi afya ya mama na mtoto.

Bonyeza: open.spotify.com/episode/6JDGtV…
Doctor Rafiki Africa (@doctorrafiki) 's Twitter Profile Photo

Sikiliza episode mpya kutoka #doctorrafikiafrica kupitia #YouTube. Bonyeza link hii kusikiliza: youtu.be/HISkh64Q2EE?si… #health #HealthForAll #doctorrafikiafrica Julieth Sebba Bilakwate, MD

Sikiliza episode mpya kutoka #doctorrafikiafrica kupitia #YouTube. Bonyeza link hii kusikiliza: youtu.be/HISkh64Q2EE?si…

#health #HealthForAll #doctorrafikiafrica Julieth Sebba Bilakwate, MD
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

It’s a big day as we celebrate 1 year of impact🌟 Grateful for the lives we’ve reached and touched, grateful to you for standing with us in promoting healthier communities! Asante sana kwa kuwa mwanafimilia❤️ #DoctorRafikipodcast #DoctorRafikiAfrica

It’s a big day as we celebrate 1 year of impact🌟

Grateful for the lives we’ve reached and touched, grateful to you for standing with us in promoting healthier communities!

Asante sana kwa kuwa mwanafimilia❤️
#DoctorRafikipodcast
#DoctorRafikiAfrica
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Hi Rafiki! Hope you do not miss this episode in Doctor Rafiki Africa podcast as I embark with one of the best dermatologist Dr. salva nicas in discussing myths and misconceptions around eczema. Click the link to listen; youtu.be/YD1lnWcYaAY OR open.spotify.com/episode/08aqc8…

Hi Rafiki!

Hope you do not miss this episode in Doctor Rafiki Africa podcast  as I embark with one of the best dermatologist Dr. salva nicas in discussing myths and misconceptions around eczema. Click the link to listen;

youtu.be/YD1lnWcYaAY

OR
open.spotify.com/episode/08aqc8…
Doctor Rafiki Africa (@doctorrafiki) 's Twitter Profile Photo

Umeshawahi kupitia kipindi cha maisha bila ajira au njia inayokuingiazia kipato? Vipindi hivi huja na changamoto za kiakili kama kuhisi kushindwa na hofu kubwa Karibu kwenye webinar hii tutakapoongelea njia unazoweza kutumia kudhibiti changamoto hizi. forms.gle/kYPMduFi3LPKQ3…

Umeshawahi kupitia kipindi cha maisha bila ajira au njia inayokuingiazia kipato?

Vipindi hivi huja na changamoto za kiakili kama kuhisi kushindwa na hofu kubwa

Karibu kwenye webinar hii tutakapoongelea njia unazoweza kutumia kudhibiti changamoto hizi.

forms.gle/kYPMduFi3LPKQ3…
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Have you listened to this week’s episode in Doctor Rafiki Africa podcast? 😀 Whether you’re thinking of starting a skin care routine or you’ve been on one but wish to improve your results, this episode is for you! Listen through; youtu.be/RIfGrbiuhqQ or open.spotify.com/episode/2fD8Vo…

Have you listened to this week’s episode in Doctor Rafiki Africa podcast? 😀

Whether you’re thinking of starting a skin care routine or you’ve been on one but wish to improve your results, this episode is for you!

Listen through; youtu.be/RIfGrbiuhqQ
or
open.spotify.com/episode/2fD8Vo…