Mr Marwa (@iddy_amin) 's Twitter Profile
Mr Marwa

@iddy_amin

ID: 1793562246238343168

calendar_today23-05-2024 08:39:22

1,1K Tweet

16 Followers

35 Following

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye picha ya pamoja na Mama Getrud Mongela wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Waandishi wa Habari ijulikanayo Kama Samia Kalamu Award 2025 Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam Leo Mei 05,2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye picha ya pamoja na Mama Getrud Mongela wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Waandishi wa Habari ijulikanayo Kama Samia Kalamu Award
2025 Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam Leo Mei 05,2025.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Charles Hilary, Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar kilichotokea leo Mei 11, 2025. Ninatoa pole kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Mwinyi, familia, ndugu, jamaa na

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Charles Hilary, Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar kilichotokea leo Mei 11, 2025.

Ninatoa pole kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Mwinyi, familia, ndugu, jamaa na
Mr Marwa (@iddy_amin) 's Twitter Profile Photo

Manina wana penda uchawi hao nikua na kamoja kazuri kapole kana adabu siku moja tumekaa kakasema wee naona hutak turia nikienda kigoma nikja utajua kuishi na mke mmoja na kumsikiliza siku iyo iyo nikapga chini 🤣🤣🤣🤣

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo la Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001 Toleo la Mwaka 2024, katika Kituo cha Mikutano cha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo la Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001 Toleo la Mwaka 2024, katika Kituo cha Mikutano cha
Ambassador Hoyce Temu, PhD (@hoycetemu) 's Twitter Profile Photo

Huyu Mzee apewe Maua yake kwa kweli 💐 🙌🏽🙏🏽🇹🇿👏. Rais Mstaafu Mh Dr. Jakaya Kikwete Jakaya Kikwete alimiliki jukwaa la diplomasia la kampeni ya Prof. Mohamed Janabi kwa hali ya juu sana! Huku mtaani tunasema Mzee alikabia juu sanaa! Sisi tuliopangiwa kuwa katika timu yake tumemshuhudia

Huyu Mzee apewe Maua yake kwa kweli 💐 🙌🏽🙏🏽🇹🇿👏. Rais Mstaafu Mh Dr. Jakaya Kikwete <a href="/jmkikwete/">Jakaya Kikwete</a> alimiliki jukwaa la diplomasia la kampeni ya <a href="/ProfJanabi/">Prof. Mohamed Janabi</a> kwa hali ya juu sana! Huku mtaani tunasema Mzee alikabia juu sanaa! Sisi tuliopangiwa kuwa katika timu yake tumemshuhudia