Hansrafael (@hansrafael19) 's Twitter Profile
Hansrafael

@hansrafael19

Mchambuzi wa soka @CrownMediaTZ

ID: 1462802291409494019

calendar_today22-11-2021 15:17:14

1,1K Tweet

61,61K Followers

112 Following

Hansrafael (@hansrafael19) 's Twitter Profile Photo

Lassine Kouma Ni pure number 10 ambae anatumia zaidi mguu wa kulia. Msimu uliopita alishika nafasi ya pili kwenye orodha ya wafungaji bora wa ligi ya Mali πŸ‡²πŸ‡± Baada ya kufunga goli (7) na Assist (6). Pia alishinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka (MVP) wa ligi ya Mali.

Lassine Kouma Ni pure number 10 ambae anatumia zaidi mguu wa kulia.

Msimu uliopita alishika nafasi ya pili kwenye orodha ya wafungaji bora wa ligi ya Mali πŸ‡²πŸ‡± Baada ya kufunga goli (7) na Assist (6).

Pia alishinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka (MVP) wa ligi ya Mali.