Josee The Great
@hamisjoseph
ID: 528353849
18-03-2012 09:52:14
1,1K Tweet
77 Followers
436 Following
Idris Habari Idris. Mimi ni mfanya biashara Mdogo wa usafi wa majumbani, maofisini,maofisini, -nyumba iliyomalizika kujengwa, inayotarajiwa kuhamia na usafi wa nguo, Kwa Sasa nimefikia hatua ya kununua baadhi ya vifaa. Lakini baadhi bado. Pesa yako itaniongezea mtaji niongeze vifaa.
DHIS2, eLMIS, HFR, VIMS, UCS-WAJA App, GoT-HOMIS, IMES, CTC2, CTC3, DHIS2-ETL, HRHIS Vitabu vya MTUHA n.k Mhe. Ummy Mwalimu tuna mifumo mingi sana. Tunahitaji kuona mifumo hii ikilishana taarifa, itatusaidia sana kuboresha takwimu za afya.
Mtandao umekua na kasi ya kobe kadri diku zinavyozidi kusogea mbele, tatizo ni nini ndugu zangu wa TTCL CORPORATION
Exciting progress! 🚀 Just wrap up a successful PY4 Planning for #USAIDAfyaYangu-Mama na Mtoto project. Looking forward to see our plans turn into impactful actions. Jhpiego Tanzania USAID Elimu ya Afya kwa Umma