Hamis Abeid (@hamisabeid) 's Twitter Profile
Hamis Abeid

@hamisabeid

Mjumbe Kamati ya Siasa CCM Wilaya ya Ubungo,

UDSM ALUMNUS,

Psychologist and Counselor,
Marketing Strategist.

ID: 627308221

calendar_today05-07-2012 11:28:27

1,1K Tweet

694 Followers

160 Following

MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliposhiriki Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

MUSEVENI HAILS TANZANIA AS ‘SHINING EXAMPLE’ OF AFRICAN INTEGRATION Uganda’s President Yoweri Museveni praised Tanzania as a shining example of economic and political integration during the 25th Ordinary Summit of the East African Community Heads of State held on 07th March,

MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

SALAMU ZA EID EL-FITRI Nawatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid el-Fitri. Tuyaishi na kuyaendeleza mema yote tuliyojifunza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani: upendo, huruma na kusaidiana, ili kuimarisha maadili na mshikamano katika jamii zetu. Tusherehekee

SALAMU ZA EID EL-FITRI

Nawatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid el-Fitri.

Tuyaishi na kuyaendeleza mema yote tuliyojifunza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani: upendo, huruma na kusaidiana, ili kuimarisha maadili na mshikamano katika jamii zetu.

Tusherehekee
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote sikukuu njema ya Eid al-Fitr. Tumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehma, kwa kutujalia kukamilisha Ibada ya Swaumu, na tumwombe apokee funga, dua na sadaka zetu. Tuungane na ndugu, jamaa, jirani na marafiki kusherehekea sikukuu hii kwa

Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote sikukuu njema ya Eid al-Fitr. Tumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehma, kwa kutujalia kukamilisha Ibada ya Swaumu, na tumwombe apokee funga, dua na sadaka zetu.
 
Tuungane na ndugu, jamaa, jirani na marafiki kusherehekea sikukuu hii kwa
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki swala ya Eid El-Fitri katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI), Kinondoni, jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Machi, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.
Samia Suluhu Hassan, ameshiriki swala ya Eid El-Fitri katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI), Kinondoni, jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Machi, 2026.
MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na Taasisi za Wizara zinazosimamia Sekta ya Mafuta kuhusu Hali ya upatikanaji wa Mafuta nchini tarehe 23 Machi,2026, Mkoani Dodoma.

Hamis Abeid (@hamisabeid) 's Twitter Profile Photo

Pole sana Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki kwa kuondokewa na Rafiki yako, Kaka yako, Waziri Mwenzako ambae mmehudumu muda mrefu pamoja kwenye baraza. Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb) alihudumu kwa upendo, uaminifu, uadilifu na kujitolea kwa muda wa takribani miaka 35

Pole sana Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki kwa kuondokewa na Rafiki yako, Kaka yako, Waziri Mwenzako ambae mmehudumu muda mrefu pamoja kwenye baraza.

Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb) alihudumu kwa upendo, uaminifu, uadilifu na kujitolea kwa muda wa takribani miaka 35
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika (African Union Bureau of Assembly) kilichofanyika kwa njia ya mtandao,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia
Hamis Abeid (@hamisabeid) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Kizigha ni mtu mwema sana na ni mchapakazi sana. ni moja ya binadamu wenye upendo mno, kwa watu ambao hawamjui wanaweza wasielewe ila ni mtu asie na majivuno, mcheshi, mpole, ana saidia kila mtu, ana huruma, mkarimu pia anampenda sana Mungu. Tuungane kumtakia heri kwenye

Mhe. Kizigha ni mtu mwema sana na ni mchapakazi sana.

ni moja ya binadamu wenye upendo mno, kwa watu ambao hawamjui wanaweza wasielewe ila ni mtu asie na majivuno, mcheshi, mpole, ana saidia kila mtu, ana huruma, mkarimu pia anampenda sana Mungu.

Tuungane kumtakia heri kwenye
MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

SALAMU ZA SIKUKUU YA PASAKA Salamu za Mheshimiwa Rais Nawatakia Watanzania wote Pasaka njema, yenye furaha na baraka tele. Tunapoadhimisha ufufuko wa Bwana Yesu Kristo, tuyakumbuke na kuyaenzi mafundisho na matendo yake ya huruma, upendo, msamaha na kujitoa kwa ajili ya

SALAMU ZA SIKUKUU YA PASAKA
 
Salamu za Mheshimiwa Rais

Nawatakia Watanzania wote Pasaka njema, yenye furaha na baraka tele. Tunapoadhimisha ufufuko wa Bwana Yesu Kristo, tuyakumbuke na kuyaenzi mafundisho na matendo yake ya huruma, upendo, msamaha na kujitoa kwa ajili ya