Benki ya Taifa ya Kiislamu (National Islamic Bank) iliyopo katika Mkoa wa Gaza, Palestina imeharibiwa kwa kupigwa makombora ya masafa marefu na wanajeshi wa Israeli.
Praying for humanity. 🤲🏼 Praying for peace. 🤲🏼🇵🇸 Innocent people and especially innocent kids are losing their lives in the war - on both sides. It's so heartbreaking & sad. 😥💔 PLEASE STOP THE WAR!!! ❌❌❌