Godfrey_bm (@godfrey_bm) 's Twitter Profile
Godfrey_bm

@godfrey_bm

Manchester utd & Yanga Lilia Fans

ID: 1687117965605683200

calendar_today03-08-2023 15:08:37

4,4K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Godfrey_bm (@godfrey_bm) 's Twitter Profile Photo

Wapwa Harris or Trump kiukwel Mimi nataman apite Harris maana akipita Trump ndoto yangu ya kwenda United States itapotea Tramp atafunga mipaka yote;

Wapwa Harris  or Trump kiukwel Mimi nataman apite Harris maana akipita Trump ndoto yangu ya kwenda United States itapotea  Tramp atafunga mipaka yote;
Godfrey_bm (@godfrey_bm) 's Twitter Profile Photo

Mtu anapo sema anakupenda sio kama haoni mwingine, ni heshima na thamani anakupa, Basi na wewe muonyeshe thamani sio dharau

Mtu anapo sema anakupenda sio kama haoni mwingine, ni heshima na thamani anakupa, Basi na wewe  muonyeshe thamani sio dharau
John kalage πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Khalid Aucho alikua mchezaji bora sana na alikuwa muhimu sana kwenye timu yetu, lakini ukweli ni kwamba muda wake uliisha Tumeshakuwa na wachezaji wakubwa zaidi ya Khalid waliindoka na Yanga ikabaki kuwa imara (Mfano Niyonzima, Cannavaro, Chuji, Ngassa n.k) Kama kuna pengo lake

Dingoo (@therealman____) 's Twitter Profile Photo

Usijali, Usipende kupitiliza na penda mafanikio ya kila mtu anaye kuzunguka hiyo ndio kinga bora ya magonjwa ya hasira na chuki.

π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

π—”π—Ÿπ—œπ—§π—¨π— π—” π—₯π—”π—™π—œπ—žπ—œ π—¬π—”π—žπ—˜ π—”π—‘π—œπ—§π—˜π—¦π—§ π—žπ—”π— π—” π—‘π—œπ—žπ—’ π—Ÿπ—’π—¬π—”π—Ÿ π—¦π—”π—œ π—¬π—˜π—¬π—˜ π—‘π——π—œπ—’ π—₯π—”π—™π—œπ—žπ—œ π—¬π—˜π—§π—¨πŸ˜ΊπŸ˜ΊπŸ˜Ί

π—”π—Ÿπ—œπ—§π—¨π— π—” π—₯π—”π—™π—œπ—žπ—œ π—¬π—”π—žπ—˜ π—”π—‘π—œπ—§π—˜π—¦π—§ π—žπ—”π— π—” π—‘π—œπ—žπ—’ π—Ÿπ—’π—¬π—”π—Ÿ π—¦π—”π—œ π—¬π—˜π—¬π—˜ π—‘π——π—œπ—’ π—₯π—”π—™π—œπ—žπ—œ π—¬π—˜π—§π—¨πŸ˜ΊπŸ˜ΊπŸ˜Ί
Godfrey_bm (@godfrey_bm) 's Twitter Profile Photo

Ee mwenyezi Mungu, nisaidie leo. Nimechoka, nimejeruhiwa na karibu kukata tamaa, Lakini najua wewe huniacha. Nipe nguvu mpya, moyo wa uvumilivu, na macho ya kuona mwanga Hata katikati ya giza. Najua Maisha yangu Bado yana kusudi, na Kwa msada wako nitashinda. Amina.πŸ•ŠοΈ

Ee mwenyezi Mungu, nisaidie leo.
Nimechoka, nimejeruhiwa na karibu kukata tamaa,
Lakini najua wewe huniacha.

Nipe nguvu mpya, moyo wa uvumilivu, na macho ya kuona mwanga Hata katikati ya giza.

Najua Maisha yangu Bado yana kusudi, na Kwa msada wako nitashinda.
  Amina.πŸ•ŠοΈ