CAPTAIN ๐• (@george__34) 's Twitter Profile
CAPTAIN ๐•

@george__34

ID: 1719461063995846656

calendar_today31-10-2023 21:07:48

10,10K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

GabbY (@iamgabby_1) 's Twitter Profile Photo

Meseji 5๏ธโƒฃ ambazo hutakiwi kuzijibu. 1. Mbona hunitafuti?, vipi umenuna? 2. Nimemiss sana, hujanikumbuka? 3. Ulikua bize na nani tena leo? 4. Tuonane, kama hutaki niambie tu. 5. Tuachane.

Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Code Za Asubuhi Mara Tu Baada ya Kuamka Ni Zilezile na Haziwezi KAMWE Kubadilika, โ†’ Kunywa Walau Glass 2 za Maji. โ†’ Pata Angalau dk 30 za Mazoezi Kwa Ajili ya Mwili Wako (Kwa Wanaume dk 15 za KEGELS) โ†’ Pata Kikombe Kimoja cha Maji ya Vuguvugu Chenye Limao, Tangawizi na

Code Za Asubuhi Mara Tu Baada ya Kuamka Ni Zilezile na Haziwezi KAMWE Kubadilika,

โ†’ Kunywa Walau Glass 2 za Maji.

โ†’ Pata Angalau dk 30 za Mazoezi Kwa Ajili ya Mwili Wako (Kwa Wanaume dk 15 za KEGELS)

 โ†’ Pata Kikombe Kimoja cha Maji ya Vuguvugu Chenye Limao, Tangawizi na
DINGI (@dingi_1234) 's Twitter Profile Photo

Nimekulia kwenye makanisa ya Pentecost, Licha ya kuwa ni makanisa ambayo wanafunga milango, wanasali na kulia sana ni makanisa yenye viongozi ambao wana Wivu, unafiki na ubinafsi sana. Hili swala wenzao kuzuia kusali ilifaa likemewe kwenye madhabahu zote ila kwa kuwa๐Ÿ‘‡๐Ÿผ

Nimekulia kwenye makanisa ya Pentecost, 

Licha ya kuwa ni makanisa ambayo wanafunga milango, wanasali na kulia sana

 ni makanisa yenye viongozi ambao wana Wivu, unafiki  na ubinafsi sana. 

Hili swala wenzao kuzuia kusali ilifaa likemewe kwenye madhabahu zote ila kwa kuwa๐Ÿ‘‡๐Ÿผ
Toto la kihaya (@toto_la_kihaya) 's Twitter Profile Photo

Hata mpenzi niliyenae,Najua siku atanikimbia Itanitesa ye ndo nguzo๐ŸŽถ๐ŸŽถ Zile ngoja kesho badae,,Atazichoka kuzivumilia Anakosa hata matunzo๐ŸŽถ๐ŸŽถ Good morning Africans ๐Ÿ˜˜

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

SAKATA LA IRAN NA ISRAEL LIMEFIKA PABAYA | VITA YA TATU YA DUNIA YATABIRIWA, HIKI NDIYO CHANZO KIKUBWA CHA MGOGORO :- youtu.be/hjFaNOUtq8M

SAKATA LA IRAN NA ISRAEL LIMEFIKA PABAYA | VITA YA TATU YA DUNIA YATABIRIWA, HIKI NDIYO CHANZO KIKUBWA CHA MGOGORO :- youtu.be/hjFaNOUtq8M
Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Angalia Mpenzi wa Leonardo alivyotoa machozi wakati akielezea Uhusiano wao. Dada kazama kabisaaaaa!! Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Angalia Mpenzi wa Leonardo alivyotoa machozi wakati akielezea Uhusiano wao.

Dada kazama kabisaaaaa!!

Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡