KING FUNGO II (@fungothe2nd) 's Twitter Profile
KING FUNGO II

@fungothe2nd

25.
MLS.
CHRISTIAN.

ID: 1236201513862787072

calendar_today07-03-2020 08:06:34

6,6K Tweet

3,3K Followers

1,1K Following

Abuu (@abuuvisual) 's Twitter Profile Photo

I shot a documentary to appreciate the unsung heroes who keep our communities clean. They are just as important as other health professionals because a clean community is the first step to preventing disease. They are truly the first line of defense for our health.

Spana & V.A.R Movement (@spana_konki) 's Twitter Profile Photo

Kipindi watu wanalia kwa kulia baada ya Wananchi kuuliwa ila Msanii akafanya kibao kata ndio huyohuyo leo hii mnapush reli yake?? Kwamba nyie ndio mnaijua fedha sana au mnaona wengine hawana uhitaji kuliko ninyi au mnaona waliouawa hawakuwa wanataka hizo fedha eti?

Onye Nkuzi (@cchukudebelu) 's Twitter Profile Photo

By the late 1990s/2000s, Silicon Valley (including eBay), was skeptical that eCommerce could take off in China, because China lacked; 1. Credit cards. 2. Desktop computers. Now that was what their eCommerce platforms were built around. Guess what? Chinese tech firms (led by

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni Tundu Lissu. Ni kati ya Watanzania wajuvi wa sheria. Fundi wa kuendesha mashitaka. Lissu analetewa kesi bubu. Na mashahidi wa kubumba. Dola inajua Lissu atajipigia wote. Ila hawajali. Wanamkomoa tu. Je, hali huwa ikoje kwa wasiojua sheria - mbele ya mawakili wanaobebwa?

MDIMANGA🍁☠️ (@iampapiito) 's Twitter Profile Photo

Koplo Mic: Ni kweli nilisema kumbe. Lissu: Kwahiyo mlikuwa mnaandaa kesi ya Lissu? Koplo Mic: Sio kweli. Lissu: Kwahiyo mlikuwa mnaandaa nini? Koplo Mic: Ushahidi wa kesi. Lissu: Kesi gani? Koplo Mic: hii ya kwako. Lissu: Kumbe ni yangu umebana umeachia. 😂😂kasheshe sana