Frank Gaudence (@frankgaudence1) 's Twitter Profile
Frank Gaudence

@frankgaudence1

ID: 1572495652487151616

calendar_today21-09-2022 07:59:35

16,16K Tweet

656 Followers

958 Following

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Wewe Kijana ulieajiriwa; Achana na kufanya fadhila kwa kampuni yako, fanya kile unacholipwa na uende nyumbani. Unapofanya kazi kwa kampuni kwa masaa 8, usiende nyumbani uangalie TV au Kucheza Game au kushinda mtandaoni… fikiria kuanzisha biashara ili

Benedicto_William (@255william) 's Twitter Profile Photo

Naomba mnambie sababu ya timu kushift kutoka man marking kwenda zonal marking? Na je mpinzani wako hawezi kukuadhibu wakati ambao unajaribu kubadilisha mfumo wako wa kuzuia kutoka man marking kwenda zonal marking? 🤔🤔🤨

Naomba mnambie sababu ya timu kushift kutoka man marking kwenda zonal marking?

Na je mpinzani wako hawezi kukuadhibu wakati ambao unajaribu kubadilisha mfumo wako wa kuzuia kutoka man marking kwenda zonal marking? 🤔🤔🤨
S O B R I E T Y ☘️ (@hermiosso_17) 's Twitter Profile Photo

Leo saa 3:45 usiku tutaendelea na utaratibu wetu wa KUSALI ROZARI TAKATIFU katika SPACE yetu "X" (Day 7/30🙏) 📌Jumanne ni MATENDO YA UCHUNGU 📌 Bikira Maria, Sababu ya Furaha Yetu.... UTUOMBEE🙏

Leo saa 3:45 usiku  tutaendelea na utaratibu wetu wa KUSALI ROZARI TAKATIFU katika SPACE yetu "X" (Day 7/30🙏)

📌Jumanne ni MATENDO YA UCHUNGU
📌 Bikira Maria, Sababu ya Furaha Yetu.... UTUOMBEE🙏
Benedicto_William (@255william) 's Twitter Profile Photo

Swali hapa. Kama yanga wanaleta kocha mwingine kuongeza nguvu, nani mwenye big picture ya playing style ya timu? A. Kocha mkuu B. Makocha wasaidizi Kama wanaleta kocha mwingine msaidizi hamuoni bado tutaendelea kuona big picture ya Roman Folz?

Swali hapa.

Kama yanga wanaleta kocha mwingine kuongeza nguvu, nani mwenye big picture ya playing style ya timu?

A. Kocha mkuu
B. Makocha wasaidizi

Kama wanaleta kocha mwingine msaidizi hamuoni bado tutaendelea kuona big picture ya Roman Folz?
S O B R I E T Y ☘️ (@hermiosso_17) 's Twitter Profile Photo

Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏