Zanzibar Youth Forum (@forumzanzibar) 's Twitter Profile
Zanzibar Youth Forum

@forumzanzibar

Zanzibar Youth Forum
Email:[email protected]/ [email protected]
Whatsapp:+255655099009
PO Box 2208 Zanzibar
Normal Call: 0777 852 830

ID: 890388417015578624

linkhttp://www.zanzibaryouthforum.org calendar_today27-07-2017 01:48:36

126 Tweet

204 Followers

169 Following

Zanzibar Youth Forum (@forumzanzibar) 's Twitter Profile Photo

UHURU WA KUJIELEZA USIVUKE MIPAKA ...... Wananchi wameshauriwa kuendelea kutumiya vizuri uhuru wa kujieleza kwa mujibu wa katiba na kutoa maoni yao bila ya kumuumiza mtu au kumdhuru mwengine. ZYF

Zanzibar Youth Forum (@forumzanzibar) 's Twitter Profile Photo

MITANDAO YA KI CHO CHEZI KUCHUKULIWA HATUA... Tume ya utangazaji Zanzibar itawachukuliya hatua za kisheria wamiliki wa mitandao ya kijamii wanashindwa kuzingatia Sheria za maudhui ya habari ambayo yanakwenda moja kwa moja katika kulenga na kuichoganisha serikali na wananchi

Zanzibar Youth Forum (@forumzanzibar) 's Twitter Profile Photo

Kibano cha Polisi wanaotumiya vibaya whatsApp Instagram Jeshi la polisi Zanzibar limeanzisha madawatti ya kuchunguza uhalifu kimtandao ktk vituo vyote vya polisi,huku vijana wakitakiwa kutumiya mitandao ya kijamii kuleta mageuzi makubwa ya kiuchumi ikiwemo kutengeneza ajira.

Zanzibar Youth Forum (@forumzanzibar) 's Twitter Profile Photo

JESHI la Polisi Zanzibar limewataka vijana kuitumia vizuri mitandao ya kijamii kutafuta fursa za maendeleo. Kitengo cha Upelelezi wa makosa ya kimtandao Makao Makuu Zanzibar, Issa Muhammed Salum, alisema utumiaji mbaya wa mitandao ya kijamii huongeza vitendo vya udhalilishaji

Zanzibar Youth Forum (@forumzanzibar) 's Twitter Profile Photo

ZYF through its project sponsored by IMS Tanzania has ensured that they reach more people by providing them with education on online protection and security, education on various online content regulations to the social media users and media influencers. Thank you.

ZYF through its project sponsored by IMS Tanzania has ensured that they reach more people by providing them with education on online protection and security, education on various online content regulations to the social media users and media influencers.
Thank you.
Zanzibar Youth Forum (@forumzanzibar) 's Twitter Profile Photo

ZYF kupitia mradi wake unaofadhiliwa na IMS Tanzania imehakikisha inawafikia wananchi zaidi kwa kuwapatia elimu juu ya ulinzi na usalama mtandaoni, elimu juu ya miongozo mbalimbali ya matumizi ya mtandao kama vile online code of conduct ya mwaka 2019. Asante

ZYF kupitia mradi wake unaofadhiliwa na IMS Tanzania imehakikisha inawafikia wananchi zaidi kwa kuwapatia elimu juu ya ulinzi na usalama mtandaoni, elimu juu ya miongozo mbalimbali ya matumizi ya mtandao kama vile online code of conduct ya mwaka 2019.
Asante
Zanzibar Youth Forum (@forumzanzibar) 's Twitter Profile Photo

ZYF KUTOA DARASA KWA WATUMIAJI WA MITANDAO YA MAWASILIANO Kwa watumiaji wa mifumo ya majukwaa ya habari kama ni njia ya mawasiliano, ZYF inawashauri yafuatayo ;- Kujilinda na kuwalinda wengine wakati wa utumiaji wa social media. Hakikisha unachukua tahadhari kwa kila hatuwa.

ZYF KUTOA DARASA KWA WATUMIAJI WA MITANDAO YA MAWASILIANO
Kwa watumiaji wa mifumo ya majukwaa ya habari kama ni njia ya mawasiliano, ZYF inawashauri yafuatayo ;-
 Kujilinda na kuwalinda wengine wakati wa utumiaji wa social media. Hakikisha unachukua tahadhari kwa kila hatuwa.
Zanzibar Youth Forum (@forumzanzibar) 's Twitter Profile Photo

A special evaluation session on the implementation of the project sponsored by IMS. A discussion team lead by Abdalla Hija (a Project coordinator) and Esther Karin from IMS, together with some of the project beneficiaries.

A special evaluation session on the implementation of the project sponsored by IMS.
A discussion team lead by Abdalla Hija (a Project coordinator) and Esther Karin from IMS, together with some of the project beneficiaries.