DUME Condoms (@dumecondoms) 's Twitter Profile
DUME Condoms

@dumecondoms

Kondomu ya kiume kwa #MwanaumeWaKweli.
Dume kondom inaletwa kwenu na T-MARC Tanzania kwa hisani ya watu wa Marekani

ID: 754828657

linkhttp://www.dume.co.tz calendar_today13-08-2012 09:47:37

1,1K Tweet

470 Followers

160 Following

DUME Condoms (@dumecondoms) 's Twitter Profile Photo

Episode ya wiki hii ya Mtazamo inahusu imani potofu kuwa kondom zina madhara ya kiafya, umejifunza nini kutoka mjadala wa wiki hii? #unatokavipi #chaguokwamwanaumewakweli #mtazamo

Mara nyingi huwa kuna tetesi potofu zinazosema kondom huwa zina madhara kwa mtumiaji. Kwa mtazamo wako nini kifanyike kurekebisha hizi imani potofu? Tupia comment hapa ili tushauliane #unatokavipi #chaguolamwanaumewakweli #mtazamo

Kwa mtazamo wako, kati ya mwanaume au mwanamke, nani anachepuka zaidi? #unatokavipi #chaguolamwanaumewakweli #mtazamo Kwa zaidi bofya hapa bit.ly/dumecondoms

DUME Condoms (@dumecondoms) 's Twitter Profile Photo

#Mtazamo Sehemu ya 3: Team Extreme ambayo imesimamiwa na Idris na Team Desire ambayo imesimamiwa na MASTA, wakijadiliana kuhusu mada ya "Uaminifu.” Bofya bit.ly/dumecondoms kuangalia kisha utuambie mtazamo wako. #unatokavipi

#Mtazamo Sehemu ya 3: Team Extreme ambayo imesimamiwa na <a href="/IdrisSultan/">Idris</a> na Team Desire ambayo imesimamiwa na <a href="/AyTanzania/">MASTA</a>, wakijadiliana kuhusu mada ya "Uaminifu.” Bofya bit.ly/dumecondoms kuangalia kisha utuambie mtazamo wako. #unatokavipi
DUME Condoms (@dumecondoms) 's Twitter Profile Photo

Kwanini uamke na mawazo? Jikinge kwa kutumia dume extreme au dume desire kwa Tsh 1000. #unatokavipi #chaguolamwanammewakweli

Kwanini uamke na mawazo? Jikinge kwa kutumia dume extreme au dume desire kwa Tsh 1000 #Unatokavipi #ChaguoKwaMwanaumewaKweli

Ngono salama ni bora zaidi. Tumia dume extreme yenye vinundu au desire ambayo ni laini zinazopatikana kwa Tsh 1000 #unatokavipi #chaguolamwanaumewakweli #mtazamo