Kiko (@donraykiko) 's Twitter Profile
Kiko

@donraykiko

Here to enjoy.
#arsenal
#yanga
don't try to be right when the government is wrong.

ID: 891526407465185284

calendar_today30-07-2017 05:10:34

13,13K Tweet

2,2K Followers

989 Following

CoCo🍫💦 (@yourfrenchfry) 's Twitter Profile Photo

Tukiweza, tuwatoe yatima kwenye uyatima. Viroba vya mchele na juisi vitawasogezea siku ila bado watabaki yatima. Ieleweke, ni jambo jema, silipingi.. and by all means tuwape hizo faraja. Ila tukiweza, tuwatoe kwenye uyatima.

Joseph Kalimbwe (@joseph_kalimbwe) 's Twitter Profile Photo

At AU Summits as it was in Addis, comrades said Africa must unite. Then, a) SA closes Israeli Embassy, Zambia opens Israeli Embassy b) Namibia is biggest fish producer, Angola buys fish from Argentina c) Angola has Oil, DRC buys UAE fuel African Unite exists only in speeches

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Hakuna maridhiano bila accountability!! Waliotoa order na kusimamia na kuendesha operation ya mauaji, kuzima mtandao kwanza wa-resign au kutolewa kwenye position zao na hawastahili kuwa sehemu ya utawala tena, na mkono wa sheria uwahusu immediately!! Then tuanze kuzungumza hayo

Joseph Mrungu (@mrunguj9) 's Twitter Profile Photo

Najivunia upendo wenu watu wa Mungu. Nimepokea ushauli mbalimbali wa kupambania Afya yangu, nimeahidi kuufanyia kazi kwa kila njia pia kwa wale walio tayali kunisaidia kwa namuna wanavyo weza wao. No 0620202124 Joseph Mrungu hiyo hapo, Naamini kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu ntapona.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

HABARI MBAYA KUTOKA MKOA WA NJOMBE. Habari za leo! Hide my 🆔 Hii ni picha ya Satellite ikionyesha picha ya eneo la pori kati ya tarafa ya Mfumbi kijiji cha Usalimwani na tarafa ya Matamba kijiji cha Ng'onde wilaya ya Makete mkoa wa Njombe. Mwishoni mwa mwezi wa kwanza wakati

HABARI MBAYA KUTOKA MKOA WA NJOMBE.

Habari za leo! Hide my 🆔 

Hii ni picha ya Satellite ikionyesha picha ya eneo la pori kati ya tarafa ya Mfumbi kijiji cha Usalimwani na tarafa ya Matamba kijiji cha Ng'onde wilaya ya Makete mkoa wa Njombe.

Mwishoni mwa mwezi wa kwanza wakati
James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Nichukue nafasi hii kipekee kuwapongeza @airtanzania kwa namna wanavyo badili ratiba za ndege mara kwa mara. Mfano leo ndege ya Air Tanzania iliyokuwa iruke kwenda Kigoma saa 5:40 imesogezwa mpaka saa 9:30 sababu wanasema ni Operation yaani siyo hata kwamba hali ya hewa ni mbaya

Kiko (@donraykiko) 's Twitter Profile Photo

Kwani huyu msemaji wa akina SATIVA na serikali yao ya maliwi hajapata tu mtaji wakulima aka Achana na hii kazi au ndo uvivu tu.