Don inno saleo furniture (ARUSHA) (@disf2021) 's Twitter Profile
Don inno saleo furniture (ARUSHA)

@disf2021

🤳 0657190057

ID: 861824433882877952

linkhttps://instagram.com/dis_official_2021?igshid=MXNuczVncTI3YXAybQ== calendar_today09-05-2017 06:05:31

24,24K Tweet

4,4K Followers

4,4K Following

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

FREE JOHN HECHE NOW…!! Kama nchi imewashinda kuiongoza kwa HAKIna KATIBA, semeni tujue moja… Ila sio kwa INCOMPETENCE na UONEVU huu wa Raia ambao sio tu wana exercise haki zao bali mnapaswa kuwalinda! Tujuzeni kama tunaongozwa na utawala wa KIIMLA au kama Tanzania ni POLICE

FREE JOHN HECHE NOW…!! 

Kama nchi imewashinda kuiongoza kwa HAKIna KATIBA, semeni tujue moja…  Ila sio kwa INCOMPETENCE na UONEVU huu wa Raia ambao sio tu wana exercise haki zao bali mnapaswa kuwalinda!

Tujuzeni kama tunaongozwa na utawala wa KIIMLA au kama Tanzania ni POLICE
Sean 🎖️ (@iboysean) 's Twitter Profile Photo

Kama Heche hayupo Kituo cha Polisi Tarime wala Dar Kama Heche hayupo kwenye chombo chochote cha Dola nchini Kama Heche alichukuliwa/kutekwa akiwa Mahakamani Basi Mimi na Wewe tuko hatarini sana popote tulipo sio salama kwani Wasiojulikana wana uwezo wa kufanya lolote lile.

Furniture Safi (@furnituresafi) 's Twitter Profile Photo

Delivered to our customer Mbweni 🙏🏼 Very clean set up, Nzuri sana 🔥 Set hii unaipata kwa tsh 1.5m tu 0786437672 Whatsapp Tunapatikana keko chang'ombe Karibuni sana Furniture safi 🤝

Delivered to our customer Mbweni 🙏🏼

Very clean set up, Nzuri sana 🔥

Set hii unaipata kwa tsh 1.5m tu

0786437672 Whatsapp 

Tunapatikana keko chang'ombe 

Karibuni sana Furniture safi 🤝
𝗣𝗹𝘂𝗴 𝗙𝘂𝗿𝗻𝗶𝘁𝘂𝗿𝗲 ©️🇹🇿 (@plug_furniture1) 's Twitter Profile Photo

Plug Furniture & Decoration ©️🇹🇿 ▫️Sofa set 3:2:1 ▫️Springs & fiber ▫️Materials: Turkish fabrics ▫️Location: Chang'ombe Area, Keko Ward, Temeke Municipality, Dar es Salaam, Tanzania ▫️Karibu Sana 📞 0754 029480

Plug Furniture & Decoration ©️🇹🇿
▫️Sofa set 3:2:1
▫️Springs & fiber
▫️Materials: Turkish fabrics
▫️Location: Chang'ombe Area, Keko Ward, Temeke Municipality, Dar es Salaam, Tanzania
▫️Karibu Sana

 📞 0754 029480
𝗣𝗹𝘂𝗴 𝗙𝘂𝗿𝗻𝗶𝘁𝘂𝗿𝗲 ©️🇹🇿 (@plug_furniture1) 's Twitter Profile Photo

Plug Furniture & Decoration ©️🇹🇿 ▫️Sofa set 3:2:1:1 ▫️Springs & fiber ▫️Materials: Mninga wood & Turkish fabrics ▫️Location: Chang'ombe Area, Keko Ward, Temeke Municipality, Dar es Salaam, Tanzania ▫️Karibu Sana 📞 0754 029480

Plug Furniture & Decoration ©️🇹🇿
▫️Sofa set 3:2:1:1
▫️Springs & fiber
▫️Materials: Mninga wood & Turkish fabrics
▫️Location: Chang'ombe Area, Keko Ward, Temeke Municipality, Dar es Salaam, Tanzania
▫️Karibu Sana

 📞 0754 029480
Pope Leo XIV (@pontifex) 's Twitter Profile Photo

May we also #PrayTogether for #Tanzania, where, following the recent elections, violent clashes have broken out, leaving many victims. I urge everyone to avoid all forms of violence and to follow the path of dialogue.

Omalicha 💕 (@itsmonaleesah) 's Twitter Profile Photo

Kuna kituo cha watoto yatima kipo Tegeta Kibo huwa nakitembelea mara kwa mara kinaitwa Al-Markaz Swahilina wanaomba msaada wa chakula namba za kuwasiliana nazo ni hizo 0782517878(Mkuu wa kituo)

Kuna kituo cha watoto yatima kipo Tegeta Kibo huwa nakitembelea mara kwa mara kinaitwa Al-Markaz Swahilina wanaomba msaada wa chakula namba za kuwasiliana nazo ni hizo 0782517878(Mkuu wa kituo)
BROTHER (@0101dubu) 's Twitter Profile Photo

Hapa nimeleza njia rahisi na salama za kulinda simu yako dhidi ya ufuatiliaji, wizi wa taarifa, na udukuzi, ili kuhakikisha mawasiliano yako na faragha zako zinabaki salama kila wakati. 🛡️ 1. Zuia Watu Kujua Ulipo (Location): Unawezaje kuzuia? Repost & bookmark., SOMA ZAIDI👇🏻

Hapa nimeleza njia rahisi na salama za kulinda simu yako dhidi ya ufuatiliaji, wizi wa taarifa, na udukuzi, ili kuhakikisha mawasiliano yako na faragha zako zinabaki salama kila wakati.

🛡️ 1. Zuia Watu Kujua Ulipo (Location):

Unawezaje kuzuia?
Repost & bookmark., SOMA ZAIDI👇🏻
C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Karibuni ⚪️Mafuta ya nywele ni Tshs 25,000 - kwa ajili ya kukuza/ kujaza nywele haraka na kuzuia sizikatike na kuzifanya ziwe nyeusi tii ⚪️Mafuta ya ndevu ni Tshs 15,000 - yanakuza/ kujaza ndevu haraka, yanafanya ndevu kuwa nyeusi tii ⚪️Mafuta ya ngozi ni Tshs 20,000 -

Karibuni 

⚪️Mafuta ya nywele ni Tshs 25,000 - kwa ajili ya kukuza/ kujaza nywele haraka na kuzuia sizikatike na kuzifanya ziwe nyeusi tii

⚪️Mafuta ya ndevu ni Tshs 15,000 - yanakuza/ kujaza ndevu haraka, yanafanya ndevu kuwa nyeusi tii

⚪️Mafuta ya ngozi ni Tshs 20,000 -