Deotraphe
@deotraphe
๐๏ธMedia Personality / Licenced Football Coach
Instagram @deotraphe
ID: 1273633096752140288
18-06-2020 15:07:43
2,2K Tweet
1,1K Followers
319 Following
Wasikilize wachambuzi wa soka, Deotraphe na Farajimustapha8 wakielezea kiufundi kiwango cha kocha wa Azam FC, Rachid Taoussi katika kukinoa kikosi hicho, baada ya jana kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 katika Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC. โ๏ธ Jairo Mtitu
Bao la kwanza la Simba Sports Club limefungwa na Elia Mpanzu. Hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika. ___ Kwa Mkapa hatoki mtu. ๐
Bao la pili la Simba Sports Club limefungwa na Steven Mukwala mchezo wa dhidi ya Al Masry. Hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho. DK 50' | SIMBA SC 2-0 AL MASRY ( Agg. 2-2 )
Bao la pili la Simba Sports Club limefungwa na Steven Mukwala mchezo wa dhidi ya Al Masry. Hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho. DK 50' | SIMBA SC 2-0 AL MASRY ( Agg. 2-2 )