David Kiarie Wa Subukia
@davidkiariewas3
I will be the best this time
ID: 1387328167736750084
28-04-2021 08:50:06
570 Tweet
14 Followers
22 Following
#HossanaMacheo Good morning victor subukia kahiga tuko pamoja sana rausha @Crarige miroya @mama yangu mzazi anaitwa mama hannah Call Her Dee Victor Mandala #HossanaMacheo
Karibu twende Kwa nyumba ya bwana Kwa shangwe na furaha..Ndani ya Gospel Ruka uko Nani Evelyn musilivi .Check point yako ni gani? Twitter @bhusema Evelyn Musilivi
#MavunoDrive Good evening emisiviri uko vipi hapo kwa studio sisi huku subukia kahiga tuko chonjoooo naingia na Crarige miroya wa kabirian,,Hellen Eliza na Tend,,Call Her Dee Evelyn Musilivi
HOSSANA MACHEO:- WIMBO WA SIKU:-:Chaguo lako ni lipi kati ya:- 1 - Umenibeba - Tumaini, 2 - Alitakalo Analitenda - Upendo Nkone? #Hossanamacheo #Restoration Twitter: @victormandalamc Biblia Husema 96.7fm SMS Line & Whatsup: 0110089270 Violet Karani @SirBucachiAbu David Kiarie Wa Subukia
#HossanaMacheo Good morning Victor salimia hao wageni wetu na umwambie wakanyangie hapo swali kama huku kwetu subukia kahiga kuna ufisadi mwingi sana tunaweza aje kuimaliza Victor Mandala
Goodmorning ni wasaa wa kuruka sasa karibu tupeperushe bendera pamoja #gospelruka Evelyn Musilivi Biblia Husema 96.7fm
Je, kuzaa watoto wengi ni bora kuliko wachache? Zungumza nasi kupitia nambari ya arafa 22422 au kwenye mtandao ukitimia #NipasheWikendi Lulu Hassan Rashid Abdalla
By Shore I love you baibe...the baby to the Sun...the sun to the....? Nani akumbuka huu wimbo wa mchezo wa Kitoto? Njoo tukumbushane zaidi kwenye #Tafrija KBC Radio Taifa Rashid Mwamkondo na Mtoto Mzuri-SuperChonnie Leo mambo ki TbT
Usinisemee..kama napenda Kula asema Ali Kiba... KBC Radio Taifa #Tafrija ki TBT leo..tamu sana hino.. lakini somo gani ulipenda zaidi shuleni..tupe story tuvute kumbukumbu pamoja Rashid Mwamkondo na Mtoto Mzuri-SuperChonnie
Siku Yako Ikoje so far? #Tafrija Ipo...KBC Radio Taifa mara tu baada ya Bunge live....tutaroll... Rashid Mwamkondo na Mtoto Mzuri-SuperChonnie pamoja nawe.. Utakuwepo?
#Tafrija yatek over in 6 min.....KBC Radio Taifa Rashid Mwamkondo na Mtoto Mzuri-SuperChonnie tupo... Are u ready?? Hii Ni Kubwa
Juisi ya tende kama ilivyo ndo itakavyokuwa kwenye #IshiVyema na Mtoto Mzuri-SuperChonnie tegea ujue kuandaa KBC Radio Taifa Rashid Mwamkondo #Tafrija
Ladies n Gentlemen....papasa Kitambi kwenye RHUMBA MEDICALE KBC Radio Taifa Rashid Mwamkondo na Mtoto Mzuri-SuperChonnie kwenye #Tafrija
#Moyente.....awilo longomba, hewani sasa.. ndivyo mambo yanavyoanza leo kwenye Rhumba Medicale hour...ya #TAFRIJA KBC Radio Taifa Rashid Mwamkondo na Mtoto Mzuri-SuperChonnie tumeandaa lingala ya kasi tupu leo ni kuruka majoka tu...ππ twende....