Peter (@creed_basil) 's Twitter Profile
Peter

@creed_basil

Cinema|| traveling|| adventure|| and only living more simply.

ID: 1554397852926971904

linkhttps://www.buymeacoffee.com/peter2024 calendar_today02-08-2022 09:25:32

15,15K Tweet

914 Followers

1,1K Following

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Unaskia bro Ukitoboa; jipongeze, jithamini, jipende, na shangilia ushindi wako. -Hakuna mtu anayejua maumivu na msoto uliopitia -Hakuna mtu anayejua gharama uliyotumia kufika hapo -Hakuna mtu anayefahamu vita ulizopigana kuwa wewe Ni wewe pekee unayefahamu safari yako. ENJOY

Peter (@creed_basil) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume Akishajua Tu anachokitaka Katika Maisha Yake Automatically Anageuka INTROVERT! 1). Muda Mwingi Anatumia Kukaa Peke Yake—KUFIKIRI 2). Anakuwa na Circle ndogo sana ya Marafiki 3). Anaanza Kutafuta MAARIFA 4). Anajitenga na DRAMA za aina Yoyote By AmosNyanda

Peter (@creed_basil) 's Twitter Profile Photo

Just saw a TikTok that says “We are all selective sinners. We choose the sins we are comfortable with, and judge the people who commit the sins we're not comfortable with” and I’m afraid this is true 😭

McMooooger ! (@vet_doctor87) 's Twitter Profile Photo

If you’d be positive for a second utagundua wale so called ‘ ndugu wanaojiskia/ roho mbaya ‘ ni jamaa flani tuu waloamua kutoruhusu drama za ukoo ziingie kwenye familia zao and some random relatives didn’t like that so they spread the propaganda about them and people fell for it.

m.s.a.k.i+ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Kutoka kwa Mdau: "Naona vijana wengi wadogo wanafilisika mapema kwa sababu wanajipa majukumu ya mume kabla ya wakati. Unajifanya mtoaji kwa mwanamke ambaye si wako hata kidogo. Unajitolea kuwa mwaminifu kwa Mtu ambaye hata hatamhini chochote. Unajifanya baba kwa mwanamke mzima

Peter (@creed_basil) 's Twitter Profile Photo

The moment you think that you are "better" than everyone else, that you are "irreplaceable" is the moment you are doomed bila kujua. Life is simple, follow your truth,follow ur path, know who you are, Let go of PRIDE and try to keep it simple by any means necessary.

Peter (@creed_basil) 's Twitter Profile Photo

Plot for Sale – Morogoro, Lukobe (Kambi Tano) A spacious residential plot measuring 30m x 25m (750 sqm) is available for sale in Lukobe, Kambi Tano – Morogoro. The land is strategically located close to the Mwendo Kasi stop! Price: TZS 4.5M (Negotiable) +255 747 222 089