Mr_Rorya02 (@cmany07) 's Twitter Profile
Mr_Rorya02

@cmany07

Mr_Rorya02

ID: 1814648349875974144

calendar_today20-07-2024 13:08:04

67 Tweet

33 Followers

503 Following

Mr_Rorya02 (@cmany07) 's Twitter Profile Photo

Kwa alichofanyiwa Doctor Mohamed Jeshi halikubaliani na tendo lolote la kihuni wala kijinai wewe Ulisikia Wapi?? Mtu apigwe mbele ya hadhara afu Jeshi lisitoe tamko Wewe Ulisikia Wapi???

Usipige Teke Kikombe Kwa Kuwa ni Kidogo Tambua Kwamba Huna Uwezo wa Kubeba Chai Ya Moto Kiganjani Mwako Hata Ungekuwa na Nguvu Kiasi Gani Please Follow me πŸ‘‰ @Mr_Rorya02

Mr_Rorya02 (@cmany07) 's Twitter Profile Photo

Kwa hili kundi la Tanzanian huko AFCON Tukishinda mechi ata moja tukaondolewa kwenye mashindano timu ikirudi hapa nyumbani inatakiwa tunywe SUPU Pale makao Makuu ya TFF Ni Maoni yangu Follow me πŸ‘‰ @Mr_Rorya02

Kwa hili kundi la Tanzanian huko AFCON 
Tukishinda mechi ata moja tukaondolewa kwenye mashindano timu ikirudi hapa nyumbani inatakiwa tunywe SUPU Pale makao Makuu ya TFF  Ni Maoni yangu Follow me πŸ‘‰ @Mr_Rorya02
Mr_Rorya02 (@cmany07) 's Twitter Profile Photo

Huwezi Kuongoza Ligi Wakati Umesajili wachezaji kutoka Bodi ya WAJUMBE wa Korosho huko kusini mwa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Huwezi Kuongoza Ligi Wakati Umesajili wachezaji kutoka Bodi ya WAJUMBE wa Korosho huko kusini mwa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Mr_Rorya02 (@cmany07) 's Twitter Profile Photo

Huwezi Kushika Nafasi za juu Yaani Club ranking CAF kwa kuweka Mabaunsa Benjamin Mkapa Huwezi kwenda Hatua kubwa zaidi Barani Africa Kwa kunywa SUPU Never πŸ‘ŒπŸ˜€πŸ‘ @Mr_Rorya02

Huwezi Kushika Nafasi za juu Yaani Club ranking CAF kwa kuweka Mabaunsa Benjamin Mkapa 
Huwezi kwenda Hatua kubwa zaidi Barani Africa Kwa kunywa SUPU Never πŸ‘ŒπŸ˜€πŸ‘
@Mr_Rorya02
Mr_Rorya02 (@cmany07) 's Twitter Profile Photo

Fainali tunayo na tunatamba nayo Medal tunazo na tunatamba nazo πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ…πŸ… Kama unaumia kashangilie timu yako pemba Cc@Mr_Rorya02 less

Mr_Rorya02 (@cmany07) 's Twitter Profile Photo

Wengine wako Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ Wengine wanaenda TANGA kupanga ni kuchagua Sehemu pekee Unapata Perfume Zinazoendana na Hadhi yako, Sehemu ni moja tu kwa @mr_perfumestz pale Sinza Mori opposite na soccer city Dar-es-salaam Cc @Mr_Rorya02 less