Cloudsfmlive (@cloudsfmlive) 's Twitter Profile
Cloudsfmlive

@cloudsfmlive

Account ya cloudsfmlive ya Twitter

Kwa Burudani | Habari | hapa ndio nyumbani

ID: 1127083045796888576

calendar_today11-05-2019 05:28:33

17 Tweet

24 Followers

21 Following

Cloudsfmlive (@cloudsfmlive) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameshiriki katika maadhimisho ya miaka 100 ya idara ya huduma za familia ya Kanisa la Waadventista wa Wasabato ulimwenguni, yaliyofanyika katika Kanisa la SDA, Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam Mei 11.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mwanamuziki wa Bongo Fleva @mrbluebyser1988 amewataka watu kutumia mitandao ya kijamii kwa faida na kuepuka vitu visivyofaa ikiwemo umbea usio na faida. Msikilize hapa Kwenye #SocialBuzz

Cloudsfmlive (@cloudsfmlive) 's Twitter Profile Photo

Dar es Salaam tukutane pale Julius Nyerere Centre Jumamosi tarehe 25 na Jumapili 26 May kuaniza saa 1:00Asubuhi -12 jioni. Uko Tayari kuchukua Milioni 120? #EAGT #EAGTConnectedbyMPESA #RefreshedbyCocaCola.

Cloudsfmlive (@cloudsfmlive) 's Twitter Profile Photo

"Miti ambayo inatengeneza mifuko ya karatasi ni miti maalum,ikivunwa inapandwa tena, Rwanda na nchi zingine wanafaidika sana na miti yetu kwa wao kutengenza mifuko ya karatasi,sasa ni wakati wetu kufaidi mazao yetu ya misitu,na mifuko hii ya karatasi unaweza kutengeneza mwenyewe

π€π‹πŒπ€π’ πŒπ™π€πŒBπ„π‹π„πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@almasmzambele_) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya wanawake mpo single kwasababu Mna matumbo makubwa wanaume tunadhani mna mimba punguzeni Bia na Nyama Choma πŸ˜… . . #ampromotiongroup #almasmzambele #bossofallbosses πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ instagram.com/p/ByKkD03Hm4f/…

Cloudsfmlive (@cloudsfmlive) 's Twitter Profile Photo

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Nandy amewatoa wasiwasi mashabiki wake (Watanzania) kuhusu ajali ya gari aina ya coaster iliyotokea usiku wa jana maeneo ya Mikumi-Morogoro ikiwa imebeba wanamuziki wa bendi.

Cloudsfmlive (@cloudsfmlive) 's Twitter Profile Photo

Aliyepewa ndoto na maono, akapewa jitihada za kuyatimiza, #CloudsMediaGroup ikazaliwa na kufungua Dunia ya wengi. Baba wa vyombo vya habari za kiburudani #Tanzania, Baba wa vipaji vya wengi aliyesababisha malengo ya wengi kutimia: @josephkusaga alizaliwa tarehe kama ya leo.

Aliyepewa ndoto na maono, akapewa jitihada za kuyatimiza, #CloudsMediaGroup ikazaliwa na kufungua Dunia ya wengi.
Baba wa vyombo vya habari za kiburudani #Tanzania, Baba wa vipaji vya wengi aliyesababisha malengo ya wengi kutimia: @josephkusaga  alizaliwa tarehe kama ya leo.