chidydullah (@chidydullah) 's Twitter Profile
chidydullah

@chidydullah

ID: 617416421

calendar_today24-06-2012 19:52:43

1,1K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Kabla ya kupost hii Movie Naomba nitoe Credit zoote! Kwa Simu kitaa na SNS 🙌 Sio kitu rahisi kutafsiri hii movie na kuielezea kwa kifupi hivi (Dk 15) Hii Movie ni Funzo kwa wanaotaka kufanya kazi Ugenini. Inaitwa "The Goat Life" Enjoy.. Video kwa Comments 👇

Kabla ya kupost hii Movie

Naomba nitoe Credit zoote!

Kwa Simu kitaa na SNS 🙌

Sio kitu rahisi kutafsiri hii movie na kuielezea kwa kifupi hivi (Dk 15)

Hii Movie ni Funzo kwa wanaotaka kufanya kazi Ugenini.

Inaitwa "The Goat Life"

Enjoy..

Video kwa Comments 👇
Landiis Ngotila (@lngotila) 's Twitter Profile Photo

Vijana 10 wa hapa Dar mwenye Laki saba(700k) Tu: Njoo Ofsini nikupe Bajaji Mpya(0km), Kiasi kingine unamalizia taratibu kwa mwaka mmoja na Miezi Mitano tu. Rejesho kwa week ni (140k) 0742387750

Vijana 10 wa hapa Dar mwenye Laki saba(700k) Tu: Njoo Ofsini nikupe Bajaji Mpya(0km), Kiasi kingine unamalizia taratibu kwa mwaka mmoja na Miezi Mitano tu. Rejesho kwa week ni (140k) 0742387750
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Elipelekwa Gerezani wakati ndio kwanza yupo kwenye ubora wake kwa kuhusika kwenye usafirishaji wa Madawa ya kulevya ya Pablo Escobar. Alikuwa striker akashift mpaka kuwa Kipa na bado alifunga goli 43 kama kipa. Yeye ndio chanzo mpaka leo mchezaji akirudisha mpira kwa kipa kipa

Elipelekwa Gerezani wakati ndio kwanza yupo kwenye ubora wake kwa kuhusika kwenye usafirishaji wa Madawa ya kulevya ya Pablo Escobar.

Alikuwa striker akashift mpaka kuwa Kipa na bado alifunga goli 43 kama kipa.

Yeye ndio chanzo mpaka leo mchezaji akirudisha mpira kwa kipa kipa
Idris (@7signxx) 's Twitter Profile Photo

As tomorrow is a very important Day in Islam and a day when prayers are answered, Here's a comprehensive Du'a List For Arafah... THREAD

As tomorrow is a very important Day in Islam and a day when prayers are answered, Here's a comprehensive Du'a List For Arafah...

THREAD