
Fatuma Bugu
@bugufatuma
Award winning News reporter @NTVKENYA Science and environmental reporter
ID: 1078312179454087169
27-12-2018 15:30:32
29 Tweet
347 Followers
162 Following





Fimbo ya Moi imepumzika: Mbali na mavazi ya kuvutia, marehemu rais mstaafu Daniel Moi alienzi rungu lake alilolibeba kila mahali alipokwenda. #NTVAlasiri Fatuma Bugu

Nicole Achola na Prince Vermalin Mukhana, wanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi ya Kakamega walioangamia katika mkasa wa Jumatatu, wamezikwa leo. #NTVJioni Fatuma Bugu


Chama cha matabibu kimepinga madai kuwa walioajiriwa katika hospitali ya Nairobi Women's hawajahitimu. Hii ni baada ya madai ya utepetevu wa madakatari pamoja na udanganyifu kupitia bili kutolewa dhidi ya hospitali hiyo. #NTVjioni Fatuma Bugu @HarithSalim_81


Mlipuko wa virusi vya korona umeaathiri maisha ya wakenya kwa kiasi kikubwa, ila kwa watu wanaoishi na ulemavu, changamoto hizo zinashuhudiwa Mara dufu, Je mikakati gani imewekwa kuwasaidia watu wanaoishi na ulemavu wakati huu mgumu wa kiuchumi ?#ulemavusikutoweza Mike Sonko

The impacts of climate change in Kenya are devastating. The people's stories are heartbreaking. How are communities surviving and adapting to the changing climate? Catch the #RoadToCOP27 series on NTV Kenya (7&9pm) and in the Daily Nation Daily Nation every day. Nation Media Group




P.L.O. Lumumba: President Ruto should have sacked the leaders who came late to his meeting Via Fatuma Bugu

Aligning Investigative Journalism within Human Rights Lenses HURIA through the support of UNDP Kenya amkeniwakenya Netherlands Embassy in Kenya is currently steering a training on investigative & #humanrights Journalism in collaboration with Journalists for Human Rights (JHR) and Media Council of Kenya


The #HumanRights & #investigativejournalism Workshop is enhancing the local journalists from Kwale County who have a passion for human-interest stories. Netherlands Embassy in Kenya Johnstone Kuya Carolyne Abong Anthony Ngororano #sdg16 #accesstojustice


Makovu Ya Dhulma Halima, si jina lake halisi angali na uchungu moyoni mwake kutokana na unyama aliotendewa na ami yake alipokuwa na umri wa miaka tisa. #NTVWikendi Fatuma Bugu

Robbing The Cradle Back in 2022, Winnie, not her real name would be left in the hands of a man who would defile her repeatedly at the age of 12. Winnie missed her periods for four months; and has since gone silent about it. Fatuma Bugu #NTVWeekendEdition

Human Rights Agenda Muslims for Human Rights (MUHURI) Humane World for Animals HRC UN Human Rights NTV Kenya 16 days of gender activism
