bryanprosper94@gmail.com (@bryanprosper94) 's Twitter Profile
[email protected]

@bryanprosper94

ID: 1429875548361216000

calendar_today23-08-2021 18:38:13

740 Tweet

347 Followers

2,2K Following

bryanprosper94@gmail.com (@bryanprosper94) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume akilalamika ujue anajali ,akikukuuliza jambo ujue anataka kujua ukweli,akinyamaza na kuyaacha mambo yaenda ujue amekata tamaa alafu kama hafanyi Chochote Kati ya hayo!tambua umempoteza mwanaume wa maana katika maisha yako

bryanprosper94@gmail.com (@bryanprosper94) 's Twitter Profile Photo

Muheshimu sana mtu anaekusindikiza kwenye njia ambayo wengine wamekukimbia. Kwasababu huyo ndie mtu alieona thamani yako na heshima yako hata kama atakuwa dhaifu kiasi gani muheshimu.

bryanprosper94@gmail.com (@bryanprosper94) 's Twitter Profile Photo

Hata muokotaji huokota akiwa anatembea nasi akiwa amekaa huwezi kufanikiwa kwenye jambo lolote lile kwa kukaa tu sehemu moja bila kuinuka hapo ulipo. Inuka ukatafute utaona mlango unavyofunguka kwako. Abdulrazaki issa.