Sometimes Wanetu wa Bodaboda wanaonewa sana na wenye magari, wengi wa magari huwa wanachat sana hawapo makini na barabara, nimeshuhudia gari inapiga Indicator kuwa inaenda kulia hivyo Boda kabana kushoto, ghafla gari ikapiga kona Kushoto.
Ila kaka Roma nakuona kama una kitu naomb nikuulze kitu hivi mfano ukagombea ugavo huoni kam utatupeleka nchi ya ahadi hivi coz mtandaon utkuwa unafuatilia yanayoendelea huku chini