One (@brazaayubu) 's Twitter Profile
One

@brazaayubu

In This Crock&Crazy World

ID: 2962248641

linkhttp://www.crazyworld.co.tz calendar_today05-01-2015 15:55:23

11,11K Tweet

555 Followers

138 Following

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

ARUSHA: Jeshi la Polisi linawashikilia Watu 6 kwa kudaiwa kumuua Askari Polisi, Roland Mollel baada ya kumshambulia, tukio lililotokea katika Mtaa wa Mlimani, Kata ya Muriet, jana Aprili 15, 2026. Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Justine Masejo amesema Roland alikuwa katika

ARUSHA: Jeshi la Polisi linawashikilia Watu 6 kwa kudaiwa kumuua Askari Polisi, Roland Mollel baada ya kumshambulia, tukio lililotokea katika Mtaa wa Mlimani, Kata ya Muriet, jana Aprili 15, 2026. 

Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Justine Masejo amesema Roland alikuwa katika
One (@brazaayubu) 's Twitter Profile Photo

Ni muda muafaka sasa Iran itoe michongo ya kazi ukifika kule upewe droni kuishambulia Israel na marekani kama Urusi anavyofanya

Typical African (@joe__bassey) 's Twitter Profile Photo

A white South African man killed his wife with a gun. The court gave him 5 years in jail. A black man shot in the sky celebrating the anniversary of his party. The court gave him 5 years plus 2 years plus many fines in the same South African 🇿🇦 court. Julius Malema didn’t kill

A white South African man killed his wife with a gun. The court gave him 5 years in jail. A black man shot in the sky celebrating the anniversary of his party. The court gave him 5 years plus 2 years plus many fines in the same South African 🇿🇦 court.

Julius Malema didn’t kill
SK Media East Africa (@ngurumo) 's Twitter Profile Photo

Mwandishi wa habari ALOYCE NYANDA anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Bugarama (Kata ya Bugarama kijijini Ilogi) Geita. Walimkata jana huko Kakola. TUHUMA: Kufadhili kikundi kiitwacho "Tanganyika Freedom Fighters (TFF)." Muda wowote kuanzia sasa atapelekwa Dodoma. Msaidieni

Mwandishi wa habari ALOYCE NYANDA anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Bugarama (Kata ya Bugarama kijijini Ilogi) Geita. Walimkata jana huko Kakola. TUHUMA:  Kufadhili kikundi kiitwacho "Tanganyika Freedom Fighters (TFF)."
Muda wowote kuanzia sasa atapelekwa Dodoma. Msaidieni
One (@brazaayubu) 's Twitter Profile Photo

Basi mtaani njaa ilikuwa kali sana, mpaka mdau anakubali 50k kuingia mtaani kurisk roho yake akiskilizia 4550k. Dili lijalo kuna wahuni watakubali Bure kuuwawa