Nelson..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@blessedbrain20) 's Twitter Profile
Nelson..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@blessedbrain20

student at MNMA KIVUKONI๐Ÿ™…โ€โ™‚๏ธSimba sc๐Ÿ‘น/chelsea /fc Barcelona/HUMANRIGHTS ACTIVIST/ UVCCM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

ID: 1520352237431799809

calendar_today30-04-2022 10:40:14

1,1K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Nelson..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@blessedbrain20) 's Twitter Profile Photo

Kiuhalisia wengi wetu tulikotoka hatuna backups,hatuna watu wakutupa deals za kutoboa kimaisha ila bado tunakomaa na tunaamini kuna siku mwenyezi Mungu ataonyesha ukuu wake kwenye maisha yetu..we keep going.

Nelson..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@blessedbrain20) 's Twitter Profile Photo

Ukipata nafasi ya kumheshimu mtu leo we muheshimu tu bila kujali yeye ni nani au ana nini,achana kabisa na assumptions za kuona watu hawana maana.maisha ya mtu yanaweza kubadilika ndani ya dakika 1 tu kutoka chini kwenda juu. #TUNATEGEMEANA

Nelson..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@blessedbrain20) 's Twitter Profile Photo

Jitahidi kuwatendea mema hata wale usiowajua au usiotegemea kama kuna siku watakulipa wema wako,kuna muda ubinafsi na roho mbaya vinakwamisha sana riziki

Nelson..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@blessedbrain20) 's Twitter Profile Photo

Hizi issue za politics bhana,kuna wabunge saa hii wamepagawa kinyama na hii election.Imagine kuna mheshimiwa mmoja kwenye campaign 2020 aliahidi kununua tractor la jimbo mwamba katoboa mpaka 2025,alafu juzi kati ndo anawambia wananchi chuma ipo njiani๐Ÿ˜‚

Nelson..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@blessedbrain20) 's Twitter Profile Photo

Kuna baadhi ya washikaji zetu uwa hatukumbuki ata ilikuaje tukajenga urafiki ila upendo na heshima zao kwetu zimefanya tumekua kama ndugu kabisa๐Ÿคž

Nelson..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@blessedbrain20) 's Twitter Profile Photo

Kwa huku mwanza hii combination ni kama catalyst inaeza fanya muhuni atembee kutoka mkolani mpaka igoma bila kuchoka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hii distance kwa dsm ni sawa na unatoka kimara mwisho mpaka kivukoni๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Moja ya watu kwenye hili taifa wanaeza fanya ujione kilaza ni huyu jamaa MASUDI KIPANYA tafsiri ya zile drawings zake uwa iko hidden sana๐Ÿ˜‚

Nelson..๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@blessedbrain20) 's Twitter Profile Photo

Kuna wale watu wachache ambao wameamua kukufanya ndugu yani haijalishi upo kwenye hali gani wao uwa wanakua upande wako ukianguka wanakuinua na ukiinuka wanakulinda usianguke tena,trust me hawa ndio wale malaika uwa unamuomba Mungu akutumie kila siku โ€œWALINDE SANA โ€œ