Patrick JB (@bilungojr) 's Twitter Profile
Patrick JB

@bilungojr

Back up account @BilungoJb UDSM ALUMNI

ID: 1433669608473604131

linkhttps://www.instagram.com/ calendar_today03-09-2021 05:54:24

2,2K Tweet

4,4K Followers

5,5K Following

Patrick JB (@bilungojr) 's Twitter Profile Photo

Ndio Mshahara Ni Rushwa Anayopewa Mwajiriwa Ili Asahau Kutimiza Ndoto Zake,Ila Nahisi Mshahara Ni Mtamu,au Nyie mnasemaje😎

Patrick JB (@bilungojr) 's Twitter Profile Photo

Mnapo tuomba tukashindwa kutoa au kutimiza kwa wakati haimanishi hatujui kutafta,ni vile tu wakati wetu haujafika,msitukatie tamaa mapema Mungu hasinzii✊ #msakatonge daraja la III C

Patrick JB (@bilungojr) 's Twitter Profile Photo

Wakuu mwanamke anakua kipaumbele cha 2 baada ya ndoa,kabla ya ndoa anabaki kua kipaumbele cha mwisho na kuhonga kabla ya ndoa mwisho ni 5,000/= kwa mwezi😎✊

Patrick JB (@bilungojr) 's Twitter Profile Photo

Kumhudumia mwanamke sio kosa ila kumhudumia zaidi ya uwezo wako ili tu umfurahishe aendelee kubaki huku unashuka kiuchumi na kushindwa kutimiza ndoto zako huo ni u$3nge,Usisahau ndoto zako ili kumfurahisha mwanamke✊