Billy Kiptanui Ipara (@billyipara) 's Twitter Profile
Billy Kiptanui Ipara

@billyipara

Agricultural Economist || Kabras Rugby and Springboks || Man Utd and Ingwe || 30 Seconds to Mars || Baltimore Ravens || Denny Crane || Balozi Konosiwa

ID: 768766064369012736

linkhttps://orcid.org/0000-0002-6261-0889 calendar_today25-08-2016 11:04:47

4,4K Tweet

871 Followers

1,1K Following

Billy Kiptanui Ipara (@billyipara) 's Twitter Profile Photo

Kamanda Iron Lady. Cleopatra ๆŽๅŽ, loya wako Wakiune bwdala afanye kazi leo, amefungua Rugby Pass kuangalia LA 7's kwa sumu, halafu laptop iko illegal stream akiangalia Super Rugby๐Ÿ˜‚

Billy Kiptanui Ipara (@billyipara) 's Twitter Profile Photo

Velo Polar Mint (Strength 5) imepatana na Manyatta kwa mwili.... Mambo imechemka hapa vibaya. Ni kama Airbus A380 leo italand kwa Nyasi

Billy Kiptanui Ipara (@billyipara) 's Twitter Profile Photo

Hii mpira inanikumbisha 2022 World Cup finals. Watched as a neutral fan lakini karibu velo ininyonge... Pure action at both ends. Ingekuwa sisi Amorin Ball, sahi Onana angekuwa maji after kuokota ya Tano๐Ÿ˜ญ

Billy Kiptanui Ipara (@billyipara) 's Twitter Profile Photo

Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Mungu uliyemtoa Daniel katika meno ya simba. Twaikabidhi Team Yetu Manchester United mbele yako. Tupee ushindi takatifu, na sifa zitakurudia Ee Muumba vyote. Na rฤชtwa rฤซa Awa, na rฤซa Ma iitลซ na rฤซa Mwene Nyaga, Thai, Thathaiya Ngai Thai!,

Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Mungu uliyemtoa Daniel katika meno ya simba. Twaikabidhi Team Yetu <a href="/ManUtd/">Manchester United</a> mbele yako. Tupee ushindi takatifu, na sifa zitakurudia Ee Muumba vyote.

Na rฤชtwa rฤซa Awa, na rฤซa Ma iitลซ na rฤซa Mwene Nyaga, Thai, Thathaiya Ngai Thai!,
Billy Kiptanui Ipara (@billyipara) 's Twitter Profile Photo

Masaa sasa ni ya kuchagua Jersey. Daktari George Tsitati, iko kazi kubwa inatumgoja in the in the next few minutes. Kinldy close the Sci Hub tab๐Ÿ˜‚

Billy Kiptanui Ipara (@billyipara) 's Twitter Profile Photo

Happy birthday kopro and chief bully Iron Lady. Cleopatra ๆŽๅŽ . Mungu akuongeze maisha marefu uone kateam kako ka londan kakibeba Okombe. Weka za Balozi I celebrate your day๐Ÿ˜‚