Ncha Kali (@beatus_ndege) 's Twitter Profile
Ncha Kali

@beatus_ndege

ID: 1174005420723232774

calendar_today17-09-2019 17:02:10

23 Tweet

23 Followers

114 Following

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

💨 Wamekuja watu kama wanne (4) Dm, wakinilalamikia kuwa Pc zao au Computer zao zinachelewa kuwaka. Yani ukiiwasha Pc, inaload kwa muda mrefu saana mpaka kuwa stable tayari kwa kutumika! Leo, Nitawaelezea nini cha kufanya ili kupunguza "Start-up time"

💨 Wamekuja watu kama wanne (4) Dm, wakinilalamikia kuwa Pc zao au Computer zao zinachelewa kuwaka.

Yani ukiiwasha Pc, inaload kwa muda mrefu saana mpaka kuwa stable tayari kwa kutumika!

Leo,
Nitawaelezea nini cha kufanya ili kupunguza "Start-up  time"
Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Waliofanya USHETANI huo👇 watakamatwa kwa UTARATIBU huu; 1. Huyo Mwanamke AMTAJE huyo MUME wa AFANDE aliyetembea nae. 2. MUME wa AFANDE akishajulikana, TUTAMJUA AFANDE. 3. Baada ya hapo, AFANDE ATAWATAJA hao MASHETANI WENZAKE. 4. Halafu MASHETANI wote WAKAMATWE.

Waliofanya USHETANI huo👇 watakamatwa kwa UTARATIBU huu;
1. Huyo Mwanamke AMTAJE huyo MUME wa AFANDE aliyetembea nae.
2. MUME wa AFANDE akishajulikana, TUTAMJUA AFANDE.
3. Baada ya hapo, AFANDE ATAWATAJA hao MASHETANI WENZAKE.
4. Halafu MASHETANI wote WAKAMATWE.
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

KLABU ya Chelsea inayoshiriki Ligi Kuu ya England ipo tayari kuchukua nafasi kubwa katika kukuza utalii Zanzibar ambapo Mabingwa hao mara mbili wa ligi ya Mabingwa Ulaya wanatarajiwa kuanzisha shule ya kukuza vipaji vya soka visiwani humo. Hayo yamebainishwa kufuatia kikao kati

KLABU ya Chelsea inayoshiriki Ligi Kuu ya England ipo tayari kuchukua nafasi kubwa katika kukuza utalii Zanzibar ambapo Mabingwa hao mara mbili wa ligi ya Mabingwa Ulaya wanatarajiwa kuanzisha shule ya kukuza vipaji vya soka visiwani humo.

Hayo yamebainishwa kufuatia kikao kati