Baila (@baila_jay1) 's Twitter Profile
Baila

@baila_jay1

ID: 1611036801170391042

calendar_today05-01-2023 16:28:15

14,14K Tweet

53 Followers

143 Following

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Ni asubuhi lakini Mwanza tayari imependeza, imeitika. Hivi ndivyo itakavyokuwa kesho mapema kwenye vituo vya kura kwa ajili ya kutiki kwa Mama.

Ni asubuhi lakini Mwanza tayari imependeza, imeitika.

Hivi ndivyo itakavyokuwa kesho mapema kwenye vituo vya kura kwa ajili ya kutiki kwa Mama.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Chama kikubwa; Mambo makubwa. Maelfu ya wananchi na wanachama wa CCM kutoka mikoa mbalimbali wanafuatilia halfa ya kufunga kampeni katika vituo maalum kwenye mikoa yao. Kesho Tunatiki Samia.

Chama kikubwa; Mambo makubwa.

Maelfu ya wananchi na wanachama wa CCM kutoka mikoa mbalimbali wanafuatilia halfa ya kufunga kampeni katika vituo maalum kwenye mikoa yao.

Kesho Tunatiki Samia.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ahsanteni sana Mwanza. Ahsanteni sana Watanzania. Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kutujaalia kuhitimisha salama kampeni, baada ya safari ya miezi miwili ya kukutana na kuzungumza na wananchi. Kote nilipopita nimefarijika kwa wingi wenu, nimefurahi kwa hamasa yenu na

Ahsanteni sana Mwanza. Ahsanteni sana Watanzania.

Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kutujaalia kuhitimisha salama kampeni, baada ya safari ya miezi miwili ya kukutana na kuzungumza na wananchi.

Kote nilipopita nimefarijika kwa wingi wenu, nimefurahi kwa hamasa yenu na
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Mama ni mtenda haki. Kwa mara ya kwanza nchini, kesho wafungwa watapiga kura kuchagua Rais wa Tanzania. Vituo 140 vimeandaliwa kwa ajili yao.

Mama ni mtenda haki.

Kwa mara ya kwanza nchini, kesho wafungwa watapiga kura kuchagua Rais wa Tanzania.

Vituo 140 vimeandaliwa kwa ajili yao.