
ππ©π¨π₯π₯π¨
@apollo_boniface
HOSOME Chadema | Bavicha Head of Information and Communication Depertment 2018 - 2024
ID: 1209831585140355073
http://www.chadema.or.tz 25-12-2019 13:41:54
4,4K Tweet
47,47K Followers
349 Following







"Tundu Antiphas Lissu anyongwe, watanzania tupo milioni 63, akitoka mmoja kuna hasara gani." Kijana wa CCM Huku ndipo tulipofika kama Taifa.







Watu wameumia, wamevunjwa na wengine kubaki walemavu wakidai haki ya kufuatilia mwenendo wa kesi uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Antiphas Lissu. Kwa mara ya kwanza nchini kesi ikaanza kurushwa LIVE. Jamhuri inataka kuturudisha tulipotoka, tusichoke kupigania haki. #LissuSiyoMhaini.
