amrythompson (@amrythompson) 's Twitter Profile
amrythompson

@amrythompson

πŸ›’πŸ’­Muuza mitumbaπŸ›οΈ

ID: 1157377857452158981

calendar_today02-08-2019 19:49:19

9,9K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Mr HealthπŸ’ŠπŸ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

YOU WANT TO IMPROVE YOUR HORSEPOWER ENERGY + LIBIDO...?? Hapa kuna Kegel Exercises, (video kwenye comment) Kuimarisha misuli ya uume na nyonga. FIVE VIDEO THREAD (BOOKMARK)🧡

YOU WANT TO IMPROVE YOUR HORSEPOWER ENERGY + LIBIDO...?? 

Hapa kuna  Kegel Exercises, (video kwenye comment) Kuimarisha misuli ya uume na nyonga.

FIVE VIDEO THREAD (BOOKMARK)🧡
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

KANISA KATOLIKI LA ROMA LIMETOA MAAGIZO KWA WAUMINI WAKE WOTE KUTOJIHUSISHA NA SIASA. SOMA BARUA HIYO. REPOST 400βœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈ #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫡😎

KANISA KATOLIKI LA ROMA LIMETOA MAAGIZO KWA WAUMINI WAKE WOTE KUTOJIHUSISHA NA SIASA.

SOMA BARUA HIYO.

REPOST 400βœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈ

#NoReformsNoElection 

#TUTAKUWEPO🫡😎
Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Kabla ya kupost hii Movie Naomba nitoe Credit zoote! Kwa Simu kitaa na SNS πŸ™Œ Sio kitu rahisi kutafsiri hii movie na kuielezea kwa kifupi hivi (Dk 15) Hii Movie ni Funzo kwa wanaotaka kufanya kazi Ugenini. Inaitwa "The Goat Life" Enjoy.. Video kwa Comments πŸ‘‡

Kabla ya kupost hii Movie

Naomba nitoe Credit zoote!

Kwa Simu kitaa na SNS πŸ™Œ

Sio kitu rahisi kutafsiri hii movie na kuielezea kwa kifupi hivi (Dk 15)

Hii Movie ni Funzo kwa wanaotaka kufanya kazi Ugenini.

Inaitwa "The Goat Life"

Enjoy..

Video kwa Comments πŸ‘‡
Eng.Benjamin (@nyalut23) 's Twitter Profile Photo

UHALISIA WA UJENZI. Gharama mpaka hapa 24m 1. Bati bundle 9.25 (kiboko)-5.3 2. Tofari 17000x150-2.6m 3. Mawe trip 15 -1.8m 4. Mbao 680-3.7 5. Fundi kujenga 1.5m 6.Fundi Kupaua- 1.3m 7. Cement 50- 1.1m 8. Nondo 50- 1.3m 9.Grill 10-1.3m 10. Misumali -1m 11. Other - 3.1

UHALISIA WA UJENZI.

Gharama mpaka hapa 24m
1. Bati bundle 9.25 (kiboko)-5.3
2. Tofari 17000x150-2.6m
3. Mawe trip 15 -1.8m
4. Mbao  680-3.7
5. Fundi kujenga 1.5m
6.Fundi Kupaua- 1.3m
7. Cement 50- 1.1m
8. Nondo 50- 1.3m
9.Grill 10-1.3m
10. Misumali -1m
11. Other - 3.1
Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Alipangalo Mungu, Binadamu hawezi kulipangua kabiiiisaaaa!! Kabisaa! Sikiliza hichi kisa mwenyewe.. Video kwa Comments πŸ‘‡

Alipangalo Mungu,

Binadamu hawezi kulipangua kabiiiisaaaa!!

Kabisaa!

Sikiliza hichi kisa mwenyewe..

Video kwa Comments πŸ‘‡
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘 (@udsm_finest) 's Twitter Profile Photo

SIRI YA KIFO CHA MICHAEL JACKSON NA ILLUMINATI Mwaka 1982. Dunia ilitikisika. Albamu ya Thriller ilipotoka, Michael Jackson hakufanana na mtu yeyote. Sauti yake, miondoko yake ya densi, mavazi yake, hata jinsi alivyotazama kamera β€” yote yalionyesha kwamba hakuwa wa kawaida.

SIRI YA KIFO CHA MICHAEL JACKSON NA ILLUMINATI

Mwaka 1982. Dunia ilitikisika. Albamu ya Thriller ilipotoka, Michael Jackson hakufanana na mtu yeyote.

 Sauti yake, miondoko yake ya densi, mavazi yake, hata jinsi alivyotazama kamera β€” yote yalionyesha kwamba hakuwa wa kawaida.
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI πŸ’¨πŸ•ΉοΈ GEUZA SIMU KUWA GAMEPAD (CONTROLLER) KWA PC AU ANDROID TV – MWAKA 2025. unajua unaweza kucheza games zako favorite kwa kutumia simu yako kama gamepad (badala ya kununua controller)? πŸ§΅πŸ§΅πŸ§΅πŸ‘‡

#UZI

πŸ’¨πŸ•ΉοΈ GEUZA SIMU KUWA GAMEPAD (CONTROLLER) KWA PC AU ANDROID TV – MWAKA 2025.

unajua unaweza kucheza games zako favorite kwa kutumia simu yako kama gamepad (badala ya kununua controller)?

πŸ§΅πŸ§΅πŸ§΅πŸ‘‡
Fondre (@utdfondre) 's Twitter Profile Photo

Reporter: Hi Bruno Fernandes, who do you think is the most dangerous player in the German team? How Florian Wirtz tried to show Bruno why he was the best only to get humbled by the best midfielder in the world. Here's a thread on How it started vs how it ended yesterday.

Reporter: Hi Bruno Fernandes, who do you think is the most dangerous player in the German team?

How Florian Wirtz tried to show Bruno why he was the best only to get humbled by the best midfielder in the world.

Here's a thread on How it started vs how it ended yesterday.